Pesa haihitaji kelele, ukiona mtu anajitapa, mpuuzie. ‘GSM wa Katoro’ kafanya matusi aseee

Ulienda huko usiende kujiuza wanao jiuza huchakazwa sana, huko Huwa wanafungua biashara pembeni, una tega, wataanza kuja unaanza kuwapeleleza status zao akijitokeza mwenye hela zaidi huyohuyo, changamoto umeme, uwe tayari Kwa lolote
Katoro kuna ukimwi na hepatitis B, aiseee!🙌🏾
 
Hela za ndagu ndio maana hawana hata maendeleo.
Wengine matajiri ila wazazi wao wanalAla kwenye vibanda.

Kama Bil 6 wao ni kugusa tu kwa mtu mmojammoja mbona hawana hata kiwanda cha kutengeneza juice
Yani watu wana migodi ya madini wahangaike na viwanda vya juice?🤣🤣
Hivo waachie wahindi wa Dar 🤣
 
Sizani kama katoro ina pesa kuizidi chunya sidhani asee chunya pesa ipo, nyingi sana, usicho kujua hao matajiri wa geita wana migodi chunya Hilo pia una paswa ulijue
Katoro sijafika ila inaonekana Kuna hela.
Chunya nimeishi ah aisee watu wana hela za Kufuru.
Mji umejengeka,mijumba inaporomoshwa benki.
Yaani Chunya unaenda bank unapishana na mtu yupo rafu tu ila amebeba mfuko wa hela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…