Kuna uzi humu ulionesha risiti ya mtu aliyelipa bill Dar kama sikosei ni zaidi ya 10M tena kanywa vinywaji vichache tu.Wewe mgeni wa Dar.
Hiyo 600K kawaida sana.
Ulipokuwa Dar ulikuwa umezungukwa na kutembea na watu wa uwezo wa chini wenzio.
Nakuhakikishia nimeona 1.5M na kuendelea kwa siku vijana wadogo wanazipasua kwenye starehe hapa Dar.
Mimi mshamba mchovu tu sina network ya ndugu au rafiki matajiri. Matajiri wengi Dar hawana Mbwembwe na kelele kama wa Mikoani.
Watu mna maneno🤣🙌Usilolijua kaa kimya basi.Ushawahi kuchimba hata shimo la choo
We jamaa ni bure kabisa , yaani unafananisha hizo familia na washamba ..Kuna pesa za kujulikana na serikali alafu kuna pesa serikali hakufahamu.Hata hapo USA unawafahamu rokafela kwanza ndio uje ulete majibu yako.
Nimekutajia hiyo familia ambayo inashikilia uchumi wa USA asilimia 85.Alafu unatangaziwa matajiri wengine kabisa
shughuli za dhahabu nazifahamu vizuri na ninafahamu hizo CIP ambazo zinawapatia pesa.Huo alioufanya ni ulimbukeniUsilolijua kaa kimya basi.Ushawahi kuchimba hata shimo la choo
Na rudia tena kama imekuuma kuona pesa basi Mo angejikita kwenye madini mbona anauza juiceshughuli za dhahabu nazifahamu vizuri na ninafahamu hizo CIP ambazo zinawapatia pesa.Huo alioufanya ni ulimbukeni
Ni kweli kabisa,, za siku nilimiss sana.Kuna watu wanaweza biashara aisee
Watu wana akili ya pesa
Nilikumiss pia, nikashangaa mbona sioni pikes za leo dada.Ni kweli kabisa,, za siku nilimiss sana.
Umeona madame alichofanya mjinga yule
Mkuu, achana na maswala ya net worth maana yatakuchelewesha SanaHakuna cha ajabu hapa. Mnaijua net worth ya mtoa zawadi?
Ukitaka kuyaangalia mambo kwa usahihi yaweke kwenye context sahihi. Consider them in relative terms, not absolute terms!
Mtu ambaye net worth yake ni TZS 5 million akitoa zawadi ya TZS 1 million (20% ya net worth yake) atakuwa ametisha kuliko mtu mwingine mwenye net worth ya TZS 25 billion aliyetoa zawadi ya TZS 2.5 billion (10% ya net worth yake)!
Mfananisha Mo na washamba , hizo pesa wamechanga mwaka mzima 😀 😀Usilolijua kaa kimya basi.Ushawahi kuchimba hata shimo la choo
Likizo dia,, niliona niwape muda binti zangu.Nilikumiss pia, nikashangaa mbona sioni pikes za leo dada.
Madame gani?
Aisee, chuki hizo huwa zinaua mkuuSidhani kama ni sifa kujiona una hela, Mimi naona kama ni ushamba tu wa wawasukuma kushika hela uzeeni
Kiwanda cha juice ni mfano na wewe!Yani watu wana migodi ya madini wahangaike na viwanda vya juice?🤣🤣
Hivo waachie wahindi wa Dar 🤣
Usinifanye nilie🥹Likizo dia,, niliona niwape muda binti zangu.
Madame ritha na mshindi wake wa bss
Siyo Msigwa, Ni MdimiAidan msigwa wa chunya ndio alipigaga billion 20 cash kwa kuuza dhahabu. Laizer sawa
Magari yote yanafanana, chper ile kukodisha nusu saa haifiki hata laki 6 ..Zipo za kutalii , kiufupi kawaida na kama zawadi ni mchango , kama ni matajiri 14 basi kila mmoja katoa mil 100 ..Nimeona vitu vya kawaida sana ila naon iko hyped sana mitandaoni .Usenge tu, matajiri wa maana kama akina Bakhresa au Mo huwezi kukuta wanafanya usenge huo
Tafuta video Musk anafanya mausenge hayo utupostie humu
Hao sio matajiri ni washamba waliopata pesa
Yule mtoto hana level waliyompa.Usinifanye nilie🥹
Hawana huruma wale, wamefanya kosa ambalo haliwezi kufutika
Freya wangemnyima basi huo ushindi wa kwanza ila sio kumtoa kwenye 3 bora.
Bora master J alivyowachamba
Nimeona video zake akiwa kambini anaonekana ana roho nzuri mwenyeweYule mtoto hana level waliyompa.
Freya akitumia jina lake anaweza kufanya vizuri sana hata yule sofire ana kitu sana.
Mkuu uliona ile harusi ya mwezi mzima ya Tajiri wa India?Usenge tu, matajiri wa maana kama akina Bakhresa au Mo huwezi kukuta wanafanya usenge huo
Tafuta video Musk anafanya mausenge hayo utupostie humu
Hao sio matajiri ni washamba waliopata pesa