Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

🀣🀣🀣🀣Unajua kilichoniuma ni kuwa kwenye game kumbe we mwenyewe ndio target!dah tuangushie file ikikupendeza mdogo wangu tu enjoy mambo ya waabeshi
 
Sasa hivi wanaondoka na kichwa chako kweupe halafu jumba bovu wanaangushiwa veggies..!! 😹😹

Sasa huku kkoo kuna michezo michafu. Watu wanapigwa pesa wanarudi mikoani kimya kimya..
🀣🀣🀣🀣🀣 dah kwa hiyo unaambiwa lipia kilemba na frame hupewi?dah lazima urudi Tunduma
 
Imepita miaka mingapi tangu hilo tukio? Are you safe now?

Hongera kwa kumaliza deni.
 
Kabisa kabisa yaani!hamna watu washenzi kama wenyeviti siku ile tunaondoka wanasisitiza wapelekwe wateja wengine kuna majumba mazuri mazuri yanatoa hadi 200M🀣🀣🀣🀣nikasema makibuyu!
 
Kuongea na watu kunasaidia
Yah yani iliniumiza kichwa sana hiyo mission nikamuambia wife ila naye akawa haelewi maana mtu anakupa dili ganji 20m in a week...
Ikabidi nimfuate mshikaji wake jamaa nikamsanua aah ndio akaniambia jamaa unapangwa....

Hapo nishasainishwa mikataba na kuonyeshwa PO na invoice za kutosha....

Mwisho wa siku nikawaambia mikataba atasimamia wakili. Nikampa wakili 20k aongee nao kwenye simu.

Baada ya hapo mikataba ikayeyuka...
 
Wambea waishi sana!wanasaidia sana
 
😹😹😹 Kwahiyo jana tunabonga lingala ukajiuliza huyu mkongolee wa wapi tena?
Pale nilikuwa sijakutambua bado.
Ingekuwa tuna ongea PM, kuongopeana 'I luv yuu' ungenikamata vizuri tu hili parody...πŸ˜œπŸ˜œπŸ˜†πŸ˜†
Ile unaiomba kwa mtu wako bila kujua, yeye anakuchora tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…