Pesa inaweza kuja kwenye maisha yako bila kutarajia

Inshu ya dollar feki juzi tu hapa Zanzibar mtu kataka kulizwa dakika za majeruhi kashtuka, ndo ikawa ponapona baada ya watu kujaa
 
Wanakuwaga serious afisa anaweza kujua mnajuana muda mrefu..!! 😹😹😹

Sasa hivi wanapiga michongo ya pesa kwa hawa kausha damu. Mkopaji anatoka Mbagala anakuja kukopa kinondoni na mkiti anawahakikishia kweli mwananchi wake mzigo unatoka..!! Anakatiwa chake jambo limeisha..!!

Rejesho la kwanza, la pili biashara imeisha.
Kibuyu akiulizwa anajibu yeye sio jukumu lake kuangalia nani kahama mtaani kwake..!! 😹😹😹
 
Aisee😹😹
 
Duka la vyakula vya kuku bado unaendelea nalo Nije kukuungisha mkuu? Ila Mungu wa ajabu,ulikuwa huna sifa ya kupata mkopo Bank! Lakin umepata kimaajabu tu.
Ikiwa unafuga kuku na upo Kigamboni maake dada kasema duka lilikuwa kongowe usisite kunipa taarifa tuna maduka Kigamboni na njr ya hapo mkuu wangu
 
Sasa mbona umekuwa Chawa wa kijani bado bwege tu unahisi unategemea uinuke kupitia serikal
 
Manina kweli hao wapo vzr na script utafikiri wapo Hollywood
 
Umeimaliza kinyonge sana 😞😞😞🤭
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…