Sasa hivi wanaondoka na kichwa chako kweupe halafu jumba bovu wanaangushiwa veggies..!! 😹😹🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Binafsi nilipotea mjini sana!hawa ndio wanaoondoka na vichwa na kwenda kuficha kusikojulikana....ukisikia pah,usiwakalie kooni mbogamboga mji una mengi huu
Hongera kwa kupiga hela, na Hongera kwa kuijua michezo ya mjiniNyie wenye jiji lenu mbona siwaoni kwenye mastory ya town ? Lamomy Tresor Mandala Grahams ERoni ila nimemkumbuka sana Analyse
Ukionyeshwa kiharage fastaa unajitoa nafsi na roho?Mimi mtu akitaka kunitapeli atumie UCHAWI, NGUVU au Mapenzi.
Hii ya mapenzi nayo soon itaanza kua Ngumu.
Ila maneno matupu utachoka tu.
Mkuu ngoja nikuulize swali langu hapa hapa naona pm haiendi...hivi Utt ukiweka pesa mfuko wa liquid unapata asilimia ngapi? Na je haina kupanda na kushuka??Ni vizuri angewaomba benki kusitisha mkopo kabla hela haijatoka,baada ya kubaini mambo yasiyo eleweka.
Ni asilimia 12 inafika mpaka 13 kwa mwaka mkuu,Mkuu ngoja nikuulize swali langu hapa hapa naona pm haiendi...hivi Utt ukiweka pesa mfuko wa liquid unapata asilimia ngapi? Na je haina kupanda na kushuka??
Samahani kwa swali mkuu🙏
Kumbe inafaa kuwekezaNi asilimia 12 inafika mpaka 13 kwa mwaka mkuu,
Ile ni Risk Free mkuu,kushuka hakuna..ni kupanda tu kama hauta chukua gawio la kila mwezi,ile faida itaongezeka kila mwezi kwa kufanya compounding interest.
Ukiwa unachukua gawio kila mwezi,faida inakuwa almost constant..maana mtaji haukui.
Naam mkuu,kumbuka ukiweka benki zile acc za Riba...wanatoa asimia 6 kwa mwaka..na hakuna compounding interest...na mwisho wa mwaka utakapo chukua pesa yako kuna with holding tax ya ile faida asilimia 10.Kumbe inafaa kuwekeza
Utt ni ya kuaminika kweli? Sababu hao ni serikali huko mbeleni hawawezi kutudhulumu?Naam mkuu,kumbuka ukiweka benki zile acc za Riba...wanatoa asimia 6 kwa mwaka..na hakuna compounding interest...na mwisho wa mwaka utakapo chukua pesa yako kuna with holding tax ya ile faida asilimia 10.
Lakini UTT hakuna hizo mambo ya with holding tax,
Uchawi ni vitisho tu sometimesUpo sahihi!wana utapeli tu wa kimjinimjini ukijichanganya unapigwa!
Kaka Muddy alisema anaenda Tumbatu Kunisomea nitableed kila kwenye tundu la mwili wangu!naona tu MP za kila mwezi hazijabadilika
Hilo ni jukumu lako sasa binafsi mkuu. Ila tu nkuambie,serikali ina nguvu mnoo..ikiamua kufanya hizo dhulma inaweza ku freeze hata vi account vyenu huko kwenye mabenki na huna kitu utafanya...Utt ni ya kuaminika kweli? Sababu hao ni serikali huko mbeleni hawawezi kutudhulumu?
Binafsi naona kufungia hela sehemu kama Utt ni kupoteza pesa bora uifanyie biashara au ununue ardhiHilo ni jukumu lako sasa binafsi mkuu. Ila tu nkuambie,serikali ina nguvu mnoo..ikiamua kufanya hizo dhulma inaweza ku freeze hata vi account vyenu huko kwenye mabenki na huna kitu utafanya...
Ukiwa na hayo mawazo hakuna kitu utafanya kwenye maisha,huwezi kuikimbia serikali..Anza na hati fungani ama bonds za serikali ambazo huendeshwa na BOT,zipo chini ya nani?Utt ni ya kuaminika kweli? Sababu hao ni serikali huko mbeleni hawawezi kutudhulumu?
MKuu hakuna aliye lazimishwa,,kila mtu anafanya kitu anapenda...kuna watu wanakuza mitaji akiwa na malengo baada ya miaka mitano aje afanye biashara...badala ya kuiweka benki ambako haikui.Binafsi naona kufungia hela sehemu kama Utt ni kupoteza pesa bora uifanyie biashara au ununue ardhi
Nawekeza 1M baada ya miaka 5 nakuta 1,600,000 kwa wakati huo hii hela itakua ni sawa na 100,000 ya sasa hivi.
😂😂😂😂, daaah kwahiyo kabla movie haijaisha ushamaliza zote shwaaa. Wewe Popcorn hazikufai tena tumia mahindi ya kukaanga 🙌Nje ya mada!
Hivi wenzangu mnawezaje kula popcorn huku mnasoma story au kuangalia movie? Juzi kuna podcast moja nlikuwa naangalia huku nakula popcorn nkajikuta nachukua tatu tatu.
Umenitamanisha! Subiri nitengeneze leoNje ya mada!
Hivi wenzangu mnawezaje kula popcorn huku mnasoma story au kuangalia movie? Juzi kuna podcast moja nlikuwa naangalia huku nakula popcorn nkajikuta nachukua tatu tatu.
Nlikuwa naangalia ile podcast ya Bdozen na MwanaFA dkk ya tano 🍿 ishakataUmenitamanisha! Subiri nitengeneze leo