Pre GE2025 Peter Msigwa hayuko huru, anapangiwa nini cha kusema na Amos Makala. Ushahidi wa video huu hapa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Chadema kufa ni vigumu sana. Mtu akitoka Chadema kwenda ccm automatically anakuwa amepotea kisiasa. Wananchi Sio wajinga 🤔
Wanasiasa wajifunze kitu ukitoka Chadema kwenda CCM unapoteza umaarufu kabisa sana sana ukienda ccm fuata mlo tu fullstop.Wote waliohamia kule wanabugia matonge tu kimya kimya soon na yeye Msigwa atanyamaza kimya aendelee kula kupitia madaraka atakayopewa vinginevyo siasa za kisikilizwa na wananchi ziko chadema ila hazina mlo ni kavu mno zinataka roho ngumu na hiyo ndiyo changamoto.
 
..ndio nasema tumchangie arudishe fedha alizopewa ili awe huru.

..Msigwa sio mtu wa kudhalilishwa namna hii.

..aliingia ktk kikao kavaa suti, wakamvua wakamvalisha shati na kofia ya mboga-mboga.

..baadae Makala anampangia hata cha kusema?!!
Kuingia amevaa suit ilikuwa ni ujumbe kwamba yupo kule kimaslahi, ila misingi na itikadi zake ni zilezile na no one to boss him there.
Kitendo cha kumvua suti na kumvalisha sare zao na kumuandikia cha kuongea lilikuwa ni jibu lao kwake kwamba we are the bosses here, na utafanya tutakacho kurlekeza na kukupangia , huku huo ndiyo utaratibu wetu, ndiyo itikadi yetu.

Msigwa anaenda kuwa mkuu wa wilaya katika moja ya mikoa ya Arusha, hususan Ngorongoro. Lengo lao ni kumuweka chini ya Bashite tu basi, kuanzia hapo ile honeymoon ya ku share Jukwaa na Makala na Nchimbi itakuwa imeishia hapo.
Na ndipo atagundua kuwa hana hadhi ya kutumia jukwaa la CCM kuzunguka nchi mzima, ni vile tu alikuwa anajaribu kujipa umuhimu na uzito kwa CCM.
 
ukichukua b za watu lazima uvuliwe mkoti si wamekununua huna jinsi baba
 
..siasa gani wanafanya?
Siasa za wanasiasa na ndio kazi yao.

..huu ni udhalilishaji tu.
Basi anajidhalilisha mwenyewe na sio tofauti. Amechagua tayari.

..Msigwa tunayemjua na machachari yake ni mtu wa kuamrishwa na kupangiwa nini aseme, tena mbele ya vyombo vya habari?
Kiumbe binaadam chenye pumzi huwezi kuapa kukifahamu, mabadiliko ni sehemu ya uumbwaji wake.

..ifike mahali Watanzania tukatae siasa hizi za hovyo.
Ingekua rahisi Kama “watanzania wangekua ni material tofauti na wanasiasa wao, vinginevyo unapambana na upepo.

 
..CCM hakuna uhuru wa mawazo na kujieleza.

..misimamo ya Msigwa ni utawala wa majimbo, serikali ya Tanganyika, Tume Huru, na Katiba Mpya.

..usipomsikia Msigwa akidai hayo jua yuko compromised.
Nafikiri kabla yake kuna waliomtangulia je hawakuwa na fikra kama zake!
 
Chama chetu kimekosa ajenda,sasa nikaona kwa nini nisijiunge na chama kikubwa ambacho kinaleta amani katika nchi😄😄😄😄😄😄😄😄usiamini mwanasiasa hata siku moja
 
Atapewa ubunge wa viti maalum na rais ili ampe uwaziri maliasili🤣🤣🤣


Huyu jamaa ni Meme' tosha.😂😂
 
Nikusaidie dada yangu, Kitila Mkumbo alihamia CCM akitokea ACT. Naweka kumbukumbu sawa.
ACT, CUF , NCCR na chadema vyote vinaitwa vyama vya upinzani. hoja ya dada Faiza ni kwamba Kitila Mkumbo na wengine wengi walitoka vyama vya upinzani na kuhamia CCM kama alivyofanya Peter Msigwa.
 
Kwamba Msigwa ni mateka wa CCM na handler wake ni Makala? 😅


Ni rahisi zaidi kumeuelewa Msigwa kwa kukubaliana na maamuzi yake, ni yeye pekee anayejua kwanini ameamua hivyo.
Msigwa ana hoja kuliko wanaopingana nae
Demokrasia ndani ya chadema ni 20%
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…