Phillip Mpango sawa lakini Charles Kimei hapana, labda Mwigulu Nchemba

Mwigulu hafai ni mpigaji tu huyo
 
Mwigulu is obviously a criminal suspect, he is being accused of having masterminded the kidnappings and torture of some people whose views were perceived to be at variance with the then government of the retired president Kikwete.
 
Nyie ndo mlikuwa mnachora madaraja na majabali nchi nzima eti Mwigulu Rais 2015. Hakuna mtu atampa wizara nyeti huyo mtesaji na muuaji
 
WAACHE WAPIGE RAMLI!!! HATA KIKWETE NA JINA LAKE LA NCHIMBI RAMLI YAKE HAIKUFAA!!! Samia Suluhu HASSAN SI MCHEZO!! MTAISOMA NAMBA.
Wewe ndo unapiga ramli..ulijua mungu wako ataendelea kuwa hai mumuongezee muda wa kutawala. Mungu akamfyekelea mbali
 
Yaani huyuhuyu Lameck Madelu aliyefoji jina la Mwigulu Nchemba awe waziri wa fedha s ha utani basi .
 
Kimei tena? Wachaga watajaa hiyo wizara mpaka wafagiaji, hatutaki makabila yenye ubinafsi. Bora hata hiyo wizara atuletee mzenj , watu wastaarab na wasio majizi
 
CRDB si ni private entity mkuu? Kimei alistaafu mwenyewe, Nsekela ndio akapigiw kura na Mkutano Mkuu wa wanahisa wa CRDB, hakuteuliwa na Magufuli
Pia Magufuli ndio alimwambia Kimei atampangia kazi baada ya kustaafu kipindi anafungua tawi la benki kule Chato na hata kura za mani za CCM kimei hakushinda ila akateuliwa kugombea, nadhani kama angekuwa mchafu kiasi hicho asingebebwa na Magufuli na wala asingekuwa mbunge
 
absolutely aisee
 
hakuna kabisa. hakuna kubahatisha pale wala kujaribu. unaweza kuangusha nchi hivi hivi kwa kuweka vinyago pale
 
Kimei alifikia muda wa kustaafu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…