Nundu_Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 811
- 349
Angalia vizuri ulichosema unavyoelewa neno Mungu. Je! Unachokataa ni huo uwezo usio wa kawaida au; unakataa, kwamba Mungu hawezi kuwa na huo uwezo?Mungu ni nomino ya dhahania , inayosemekana kuwa kitu chenye uwezo usio wa kawaida