Philosophy of Religion: Uthibitisho wa uwepo wa Mungu kwa hoja ya Ufunuo na maandiko matakatifu

Mungu ni nomino ya dhahania , inayosemekana kuwa kitu chenye uwezo usio wa kawaida
Angalia vizuri ulichosema unavyoelewa neno Mungu. Je! Unachokataa ni huo uwezo usio wa kawaida au; unakataa, kwamba Mungu hawezi kuwa na huo uwezo?
 
Mtu asiye na imani katika miungu, dini na habari za kiroho nk
Ukisha kuwa mtu, kwa sababu una Akili ni vigumu kusema huna Imani. Kinachoweza kutokea ni kuwa na imani potofu - kukosa uelewa wa mambo na elimu ya vitu; na hii ndiyo ina wakumba watu wengi.

Kwa mfano, unakuta mtu anaamini Serikali, fedha, mali, mtu, sayansi nk. Hii yote ni kukosa kuelewa.
 
Shida siyo kupinga au kuangalia mtazamo fulani, shida unakanusha vipi jambo ambalo uko dhidi yako.

Mathalani mimi upingaji wangu wa maandiko ya vitabu vingine hurudi katika usuli.

Maana yake wewe ili uwe sahihi kwa hiki unachokiandika ulitakiwa ubatilishe hizo aya kwa njia yoyote unayo ona wewe ni nyepesi kwako. Kwa minajili hiyo kwa unachokiongelea hukupaswa kuanzisha hata hii mada yake, wewe umeshakubali ya kuwa kila mtu aende na mtazamo wake, maana yake hakuna kukosoana wala hakuna kuutafuta ukweli.

Hitimisho langu kulingana na ulichokiandika ni kuwa huna uwezo wa kupinga hizo aya kiakili, kimazingira wala kihistoria.

Shukrani.
Basi kama hunaona mantiki ya hoja niliyokupa nindhahiri hujaelewa purpose ya hii mada

Nimekuambia ukitaka utumie vitabu kama njia moja wapo ya uthibitisho lazima kwanza unipe uthibitisho wa hicho kitabu kuonesha kama kimeongea ukweli bila kuweka circular reasoning
 
Inaonekana hata maana ya tamko malalamiko hujui, hakuna malalamiko hapo, bali naongelea ukweli juu ya yale mnayo yafanya kwa maana hamjibu maswali mnakimbia hii ni ada yenu, na hii inaonekana kwa kutokuwa na maarifa juu ya jambo hili.

Hapo juu nimeshakuwekea hoja ambayo nimeshaiweka zaidi ya mara tano humu ndani, leo unakuja kusema kwamba aya niwawekee Wakristo. Sasa najiuliza kwa lipi au ndiyo muendelezo wa kukimbia hoja.
Ile hoja imekuja kabla ya jambo la msingi ambalo ulipaswa kulifanya hujalifanya

Ni kunipa evidence za kuonesha aunthetic ya hicho kitabu

Hujafanya hivyo, nitajuaje kama na deal na jambo lililotokana na source ya ukweli au uwongo?
 
Safi kabisa hapa tumeafikiana. Naomba uniambie ilikuwaje mpaka dunia ikawa hivi ilivyo na sisi wanadamu tukawa hivi tulivyo, yaani mwanzo wetu ulikuwaje ?

Ukijibu hili swali, kama kichwa chako chepesi katika kufikiria utakubali ya kuwa zile aya ambazo huwa zinathibitisha ukweli wa uwepo wa Allah ni kuwa lazima awepo aliye umba mwenye sifa zile tano na hii tunaiita "Self evident truth"

Usikimbie swali hata moja.
Tunaweza kujifunza juu ya ulimwengu na viini vya mambo kupitia uchunguzi

Majibu ambayo una propose yamepitia vigezo hivyo?
 
Naona mnaendeleza ujinga, mwanadamu kumfuga Ng'ombe hili si jambo maalumu kwa mwanadamu dhidi ya Ng'ombe ? Mwanadamu kusanifu Majengo hili si jambo maalumu dhidi ya Ng'ombe. Aisee kwa mtindo huu mtaendelea kuwa wajinga mpaka mnakufa.

Siijui DNA ndiyo maana nauliza. Inaonekana nyinyi ni mashabiki wa haya mambo yaani mnatuletea mavitu ambayo hamuwezi kuyatetea wala kuyajengea hoja. Sisi huwa tunasema hivi Wakana Mungu wote ni Wagonjwa wa AKILI.

Hili ndiyo tatizo la kujadiliana na watu wajinga yaani unayo yataja ni machache sana na yasiyo na uhalisia kuliko yale mengi ya uhalsia na yenye utofauti mkubwa sana.

Kijana wewe ni MJINGA tena mjinga hasa kwa kushindwa tu kung'amua utofauti uliopo kati yako na Ng'ombe yaani hujitambui na akili zako ndogo kuliko za mtoto.

Aisee, jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Yaani mtu anashindwa kuona tofauti yake na umaalumu wake dhidi ya Ng'ombe, ajabu anasema Mungu hayopo na marejeo yako ni Sayansi. Wewe wa kupigwa makofi.
yani we umeona u-special wa binadamu kwa wanyama upo kwenye dhana ya kufugana?

The rest ulichokiandika ni provocation
 
Angalia vizuri ulichosema unavyoelewa neno Mungu. Je! Unachokataa ni huo uwezo usio wa kawaida au; unakataa, kwamba Mungu hawezi kuwa na huo uwezo?
Uwezo usio wakawaida hiyo ni nadharia aliyopewa huyo Mungu na wala haiko katika muktadha wa kihalisia kusema Mungu huyo mwenye sifa hizo yupo

Ni kama mtu ambaye amekupa tafsiri ya neno "Spiderman" lazima naye ataweka sifa za extraordinary kuonesha upekee

Lakini when it comes to reality, its another thing
 
Ukisha kuwa mtu, kwa sababu una Akili ni vigumu kusema huna Imani. Kinachoweza kutokea ni kuwa na imani potofu - kukosa uelewa wa mambo na elimu ya vitu; na hii ndiyo ina wakumba watu wengi.

Kwa mfano, unakuta mtu anaamini Serikali, fedha, mali, mtu, sayansi nk. Hii yote ni kukosa kuelewa.
Hili somo la imani tushalijadili sana kwenye moja ya mada zako, sikutegemea kama ungelileta hapa kwa namna hii

Kuna hope, faith, trust, na beliefs

Nikikuambia ni imani ipi hapo inayotumika kwenye muktadha wa dini na maswala ya kiroho utanambia ipi?
 
Naona mnaendeleza ujinga, mwanadamu kumfuga Ng'ombe hili si jambo maalumu kwa mwanadamu dhidi ya Ng'ombe ? Mwanadamu kusanifu Majengo hili si jambo maalumu dhidi ya Ng'ombe. Aisee kwa mtindo huu mtaendelea kuwa wajinga mpaka mnakufa.

Siijui DNA ndiyo maana nauliza. Inaonekana nyinyi ni mashabiki wa haya mambo yaani mnatuletea mavitu ambayo hamuwezi kuyatetea wala kuyajengea hoja. Sisi huwa tunasema hivi Wakana Mungu wote ni Wagonjwa wa AKILI.

Hili ndiyo tatizo la kujadiliana na watu wajinga yaani unayo yataja ni machache sana na yasiyo na uhalisia kuliko yale mengi ya uhalsia na yenye utofauti mkubwa sana.

Kijana wewe ni MJINGA tena mjinga hasa kwa kushindwa tu kung'amua utofauti uliopo kati yako na Ng'ombe yaani hujitambui na akili zako ndogo kuliko za mtoto.

Aisee, jf kuna watu wajinga sijapata kuona. Yaani mtu anashindwa kuona tofauti yake na umaalumu wake dhidi ya Ng'ombe, ajabu anasema Mungu hayopo na marejeo yako ni Sayansi. Wewe wa kupigwa makofi.
Tofauti yako na ng'ombe ni binadamu kuwa na nerve cell nyingi kwenye ubongo ukilinganisha na body size. Maana nerve cell zako na za ng'ombe zinafanana hamna utofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani biologically binadamu kwenye cellular level hana tofauti na mamalia wengine.

Na sisi tofauti ilianza tulipogundua moto tukapata unafuu wa kusaga chakula so sehemu ya tumbo ikapungua ubongo ukaongezeka. Na kuwa ma ubongo mkubwa kunatumia energy nyingi, na sisi tumeweza hilo kwa kupika chakula. Ndio maana watu wenyewe utapia mlo akili zao hazipo sawa maana ubongo haupati lishe.

shida yako umeleta mambo ya mawazo ya miujiza na mungu kwenye mambo ya kisayansi
 
Basi kama hunaona mantiki ya hoja niliyokupa nindhahiri hujaelewa purpose ya hii mada

Nimekuambia ukitaka utumie vitabu kama njia moja wapo ya uthibitisho lazima kwanza unipe uthibitisho wa hicho kitabu kuonesha kama kimeongea ukweli bila kuweka circular reasoning
Soma ulichokiandika kilichopelekea niandike haya usifanye watu wajinga.

Sasa kama hata unachokiandika hukielewi kwanini unaingia kwenye usiyoweza kuogelea ?
 
Hujafanya hivyo, nitajuaje kama na deal na jambo lililotokana na source ya ukweli au uwongo?
Naanzia hapa, maana naona unaleta kona kona Qur'aan ni kitabu sahihi au si sahihi ?
Ni kunipa evidence za kuonesha aunthetic ya hicho kitabu
Hili ulipaswa wewe ulifanye kwanza, labda ukiri ya kuwa Qur'aan huijui, kwa kuibatilisha, maana yake utakuwa na elimu ya ziada.

Lakini shahidi za kuonyesha Qur'aan ni ukweli mtupu ni yale yaliyomo katika Qur'aan. Qur'aan haina makosa chembe, navyokwambia hivi sasa ni wewe uonyeshe makosa au dosari.
Ile hoja imekuja kabla ya jambo la msingi ambalo ulipaswa kulifanya hujalifanya
Hiyo hoja hujibiwa baada ya kuulizwa, lakini pale ambapo mimi nimeanza na kukuuliza swali ni wajibu wako kuonyesha usahihi wako. Yaani kuna namna mbili au zaidi ya kuthibitisha upande wako na wangu, sasa unapo kimbilia kichakani na kujiona wewe huwajibiki hii ndiyo tabia yenu sasa ya kukwepa maswali.

Anayekanusha hutangulizwa kabla ya anaye sadiki, mimi nasadiki na wewe unakanusha, sasa kosoa hizo aya au onyesha uongo wake, hizi nyingine ni mbio za sakafuni.
 
yani we umeona u-special wa binadamu kwa wanyama upo kwenye dhana ya kufugana?

The rest ulichokiandika ni provocation
Huo ni mfano tu kijana, hakuna mtu mwenye akili timamu ambaye haoni umaalumu wa mwanadamu dhidi ya mnyama.

Huwa najiuliza inakuwaje mnafikiria kitoto namna hii, nakuja kuhitimisha ya kuwa ndiyo maana ni rahisi kwenu kukataa juu ya uwepo wa Mola na hamna hoja.

Hili hamuwezi kupinga ndiyo maana mnaipitia mbali hoja hii.
 
Tofauti yako na ng'ombe ni binadamu kuwa na nerve cell nyingi kwenye ubongo ukilinganisha na body size. Maana nerve cell zako na za ng'ombe zinafanana hamna utofauti[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] yani biologically binadamu kwenye cellular level hana tofauti na mamalia wengine.

Na sisi tofauti ilianza tulipogundua moto tukapata unafuu wa kusaga chakula so sehemu ya tumbo ikapungua ubongo ukaongezeka. Na kuwa ma ubongo mkubwa kunatumia energy nyingi, na sisi tumeweza hilo kwa kupika chakula. Ndio maana watu wenyewe utapia mlo akili zao hazipo sawa maana ubongo haupati lishe.

shida yako umeleta mambo ya mawazo ya miujiza na mungu kwenye mambo ya kisayansi
Kijana pale mwanzo tu ulivyo kuwa unayaandika yale nikasema wewe ni kichwa maji.

Utofauti unakuja katika utendaji, maarifa, maamuzi, mipaka, malengo na usanifu, kufanana kwa Ng'ombe na mwanadamu kupo katika uhai sababu sote tuna ishi na hivi ni vichache.

Nakuuliza swali dogo sana, turudi katika uhakiki, mwanadamu amegundua moto lini ? Kisha utanipa ushahidi wa kabla ya kugundua moto alikuwaje ?

Ng'ombe mbona wanakula na wamebaki hivyi hivyo ? Au ng'ombe wote wana utapia mlo ?

Hapo hakuna mawazo ya miujiza hapa naongelea uhalisia kijana uhalisia ambao hata mtoto ambaye haja balehe anauona.
 
Sijawahi kuelewa atheist anapotaka athibitishiwe kama Mungu yupo, ni kwamba anakusudia athibitishiwe yale yanayoelezwa kwenye vitabu vya dini kuhusu Mungu kuwa ni kweli au wanataka kuoneshwa kabisa huyo Mungu au ni vp?
 
Hata vitabu bado navyo vinahitaji uthibitisho

Ikiwa mtu haamini mungu hicho kitabu kinachoitwa chake huyo mungu anawezaje kukikubali.!?

Na pia huwezi sema wanahitaji kuoneshwa kwa kuwa tu wamekuwa wakiomba uthibitisho kwa kila jambo

Msingi uliojijenga wa dhana ya uwepo wa mungu asiyeonekana nadhani hata hao wanaoitwa atheist bado wanauheshimu

Sijaona atheist yeyote mkongwe humu akitumia udhaifu huo wa dhana ya mungu kutoonekana kama hoja, bali baadhi ya watu wanaojadiliana nao wamekuwa wakishindwa labda kuelewa kile wanachojaribu kumaanisha katika kuwafikia

Problem of evil ndipo walipojifichia atheist, watu wa dini wakiweza kuchoma kichaka hiki kwa atheist hata mimi nitaungana nao
 
Soma ulichokiandika kilichopelekea niandike haya usifanye watu wajinga.

Sasa kama hata unachokiandika hukielewi kwanini unaingia kwenye usiyoweza kuogelea ?
Kwanini unahisi sijakuelewa?
 
Naanzia hapa, maana naona unaleta kona kona Qur'aan ni kitabu sahihi au si sahihi ?
Ni sahihi kwa muktadha gani?

Wa kiimani?

Hata nikisema kiimani bado hakiwezi kuwa sahihi kwenye imani zingine tofauti na uislamu
 
Naanzia hapa, maana naona unaleta kona kona Qur'aan ni kitabu sahihi au si sahihi ?

Hili ulipaswa wewe ulifanye kwanza, labda ukiri ya kuwa Qur'aan huijui, kwa kuibatilisha, maana yake utakuwa na elimu ya ziada.

Lakini shahidi za kuonyesha Qur'aan ni ukweli mtupu ni yale yaliyomo katika Qur'aan. Qur'aan haina makosa chembe, navyokwambia hivi sasa ni wewe uonyeshe makosa au dosari.
Ukweli umeuthibitishaje?
 
Back
Top Bottom