Picha: Dar es Salaam waonesha uhalisia suala la bandari nchini. Viongozi wajitafakari sana

Usile peke yako, wagawie ns wenzio.
 
Hii ID uliyotumia kuandika comment hii ni ID yako ya ngapi?

Maana wapingaji mna ID zaidi ya moja ambazo mmefungua kwa ajili ya kuhadaa watu kwamba mko wengi, na wakati kiuhalisia hamfiki hata watano.

Mkutano wa juzi umewaumbueni, hili ni funzo kwa wale wanaowatumia vocha PM ili mtetee matumbo yao kupitia bandari.
 
Usile peke yako, wagawie ns wenzio.
Mbona kina Mbowe na Lisu wamekula peke yao, au wao pesa waliyopewa na wakwepa kodi wa bandarini ni ya kwao tu na familia zao?
 
Endelea kujitekenya na kucheka mwenyewe ila watanzania tumewapuuza wachumia tumbo wote wanaotumiwa na wakwepa ushuru na kodi wa bandari.

Kikubwa serikali na bunge dp world muda wowote wanakuja kuanza kazi. Hizi porojo na takataka zingine zitaishia jalalani
 
Jaribu kukumbuka umekutana na ID hii mara ngapi tokea umeingia JF hapo utaelewa ID inahusu nini.
Watu wa aina yako mnajionyesha kuwa majuha sana.
 
Bila shaka unaumwa ugonjwa wa ngiri
 
Hakuna ulichokisema hapo zaidi ya mapovu kukutoka kwa hasira.
Katafute kazi.
 
CHADEMA hawajitambui. Tamko la mwaipopo tu limewamaliza je alisimama mwislamu mwenye ushawishi zaidi so CHADEMA itazikwa ktk kabiri la sahau?
 
Jaribu kukumbuka umekutana na ID hii mara ngapi tokea umeingia JF hapo utaelewa ID inahusu nini.
Watu wa aina yako mnajionyesha kuwa majuha sana.
Acha hasira kijana, uhalisia unaonesha kuwa wapinga mkataba ni wachache san tena wenye ID kumi kumi totauti mitandaoni.

Hii haiwezi kusaidia chochote katika dunia ya leo, ni sawa na mtu anaejidanganya mwenyewe.

Umechagua kuwa upande wa wasaka tonge na wanasiasa uchwara, basi inabidi ukubaliane na matokeo kwamba kile mnachojaribu kukitengeneza cha kupinga pinga kila kinachofanywa na serikali hakina baraka wala support ya wananchi.

Ukitaka moyo wako uwe na amani basi kuwa mkweli, acha na magenge ya wanasiasa uchwara ambao wao wanaishi vizuri kupitia propaganda mfu kama hizo za bandari nk.

Juzi Temeke mmeumbuka kweli kweli. Wananchi wa leo sio wale wa 2009 ambao mliwatumia kama daraja kwa sababu ya kufikia mafanikio ya kisiasa.
 
Tatizo unasumbuliwa na ushabiki kwenye vitu vya msingi
Kitu cha msingi kipi sasa, mbona haukiweki ili mimi na wasomaji wengine tukione.

Wanasiasa uchwara walioumbuka juzi Temeke ndio wamekutengeneza ili kukufanya wewe uone wanachodanganya kuwa ni cha msingi. Pole sana
 
Unaleta picha za saa tano asubuhi, weka picha za saa 10 jioni uone watu walivyofurika.
Hiyo picha ni ya saa 9 na nusu. Weka wewe sasa hizo za saa 10 tuone kama kuna tofauti.

Mkubali tu kwamba watanzania wameshachoka kufanywa wajinga na wanasiasa uchwara wakishirikiana na viongozi wa dini wenye njaa.
 
Siku za zamani watu walikuwa wanashindana kushusha hoja za msingi zilizo fanyiwa tafiti za kina na mwisho zinazua mjadala wa kina.
Hakukuwa na ushabiki maandazi na hilo lilisababisha hata viongozi wa siasa, jamii na watu weledi wakachangia tena kwa ID zao halisi na kwa heshima.
Ila sasa hivi kuna mashindano ya kushusha pumba za kipuuzi na kijinga mpaka ukisoma unajuta kwa nini umepoteza muda wako kusoma.
Ona upupu huu! Mnadhani utakuwa umeandikwa kwa watu wenye akili?
Lazima ni watu wa aina hii tuu;
 
CHADEMA hawajitambui. Tamko la mwaipopo tu limewamaliza je alisimama mwislamu mwenye ushawishi zaidi so CHADEMA itazikwa ktk kabiri la sahau?
Kwa mara nyingine tena Chadema na genge lao wameangukia pua 🤣🤣🤣
 
Atuwezi jitokeza sababu mbowe na cdm wanatafuta huruma tu
Mbowe na genge lake wameshavuta mamilioni ya shilingi kutoka Kwa waliokuwa wanakwepa kulipa kodi na ushuru wa bandari.

Alafu eti wanataka kuwatumia watanzania kusimama juani kupigania ajenda mfu zao, na wakati hela wamekula wao na familia zao.
 
Jingine hili huku. Akili imeishia kwenye kuolewa na ngono. Nimeamini umri hauongezi akili. Kama ulikuwa huna akili tangu ukiwa mdogo utazeeka ukiwa hivyo hivyo!!
Siyo kila mzee ana hekima wapumbavu pia wanazeeka.
 
1. Hoja za msingi zipi?
2. Zile za kuwarubuni watu kuwa Lowasa ni fisadi, na baadae kututaka tumchague tena huyo huyo fisadi?
3. Au zile za wanasiasa uchwara kurubuni watanzania kuwa waingie barabarani kuandamana huku wanasiasa uchwara hao watoto wao wakiwa ulaya na Marekani wanaishi na kusoma huko?

Ama kweli ujinga ni laana, maana kila mtu atakutumia kwa faida yake mwenyewe.
 
Yani bandari Bora apewe muarabu tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…