PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

PICHA: Hii biashara ya usafirishaji wahamiaji inafanywa na matajiri wakubwa wenye connection na vigogo

Hivi kwa mfano nikianzisha biashara ya kusafirisha hao wahamiaji haramu ila kwa njia zetu za kiafrica sipigi pesa🤔🤔

Yani hamna haja ya kubebwa kwenye mabomba.... Mimi nakushika mkono tunatokea boda (hapo tumevuka mikoa zaidi ya 6 ndani ya dk 3!!

Ila kwakuwa huduma yangu n fast na salama..... Price yake 1000 USD kwa kichwa kimoja🚶🚶🚶
Si rahisi kihivyo mkuu
 
Ethiopia kuna tatizo kubwa kuliko letu kwenye utoaji passport

Raia wa Ethiopia kupata passport ni kama kwenda mbinguni ndio maana wengi wako tayari kutafuta fursa nje ya nchi lakini serikali haiwapi passport

Hela si unaona wanazo wangesafiri hata kwa ndege au basi comfortably na bila ku risk maisha yao

Ethiopia ajira hamna halafu na wananchi wakitaka passport huwapi ndio wanaamua kusafiri kwa taabu hivyo bila passport na risk kubwa na gharama ya fedha kubwa kuliko wangesafiri kawaida

Ethiopia hawana huruma na raia wake
Uchoyo wa kutoa passport unaumiza watoto watu wanaotaka kutafuta maisha nje
ras jeff kapita
 
Ila sijui kwann huwa nawaona hawa wahamiaji haramu ni maboya,
Kwann kila mtu asisafiri kivyakee, afu wakaenda kukutana huko mpakani mwa nchi jiranii?

Mbna Bongo ukisafiri kwa bus simple tyuu. Unatembeaa safe kabisaa. Lol

Poleeee zao.
Kwenye mabasi pia kunakuwaga na ukaguzi njiani. Halafu wabongo walivyo wambea kuanzia pale boda watu lazima waambizane umemwona yule mwethiopia? Hakuna namna mwethiopia anaweza ingia Tanzania asijulikane. Angalau wamalawi na wazambia tunafanana nao.
 
Ina maana hao raia 62 watakuwa na uzito wa kuzidi tani 6 😆
Kwa muonekano wao sidhani kama kuna yeyote ambaye uzito wake unazidi kilo 60. Hivyo tukichukulia wastani wa kilo 60 kwa kila mmoja jumla kwa wote 62 itakuwa kilo 3,720 ambazo ni wastani wa tani 4. Hivyo uzito wa watu na hizo bomba zilizowekwa hauwezi kuzidi tani 5.
 
Kwenye mabasi pia kunakuwaga na ukaguzi njiani. Halafu wabongo walivyo wambea kuanzia pale boda watu lazima waambizane umemwona yule mwethiopia? Hakuna namna mwethiopia anaweza ingia Tanzania asijulikane. Angalau wamalawi na wazambia tunafanana nao.
Nilishawahi safiri na raia wa kigeni, yule km sio mu Ethiopia bas Msomali.
Nilisafiri nae kutoka Dsm had songea, ni kweli tulikua tunakaguliwa njiani,ila alitoboa had Songea,

Siku ya 2 asubuhi, mie nilikua naenda kijijin, nilipanda gari inayoenda Boda ya Mkenda, yulee jamaa nikakutana nae tena kwenye gari.

Naamini alifanikiwa kufika na kuvuka upande wa msumbiji.
 
Watu wengine bahati wanazo. Ila pia usipoonyesha wasiwasi ni rahisi kupita vizuizi.
 
Watu wengine bahati wanazo. Ila pia usipoonyesha wasiwasi ni rahisi kupita vizuizi.
Yulee alikua kawaida, afu hata sisi abiria wenzake hatukua na habari nae.

Ila mie nilisemea moyoni, huyu jamaa anazamiaa nchi jiranii
Naamini ashakua na maisha mapya huko aliko, maana ilikua mwaka juzi.
 
Mungu amtangulie huko aendako. Wengine huwa na nia ya kutafuta tu maendeleo na sio uhalifu. Kuna watanzania wako nchi jirani wanapendwa sana na watu wa huko ikiwemo serikali kwa ajili ya kufanya maendeleo. Na wengine walienda tu kihuni.
 
Uwoga sasa ndio unazidi kutoka Somalia Hadi Malawi ukiwa peke yako ni ngumu sana inahitaji pesa nyingi zaidi
We jamaa akili yako imejaa ubaguzi ubaguzi tu, naona unaandika pumba juu hadi chini hao sio Al shabaab wala sio wasomali na possibility kubwa sio waisilamu kabisa.

Wahamiaji wanao pita Tanzania wanatokea Ethiopia, wanakimbia Unyanyasi wa Ki Kabila/Ethnicity huko kwao.
 
Back
Top Bottom