King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Ni kweli 99.99% matajiri wameupata Kimagumashi ,yeye atakwambia tu alianza na mtaji wa elfu 20 then hapo kati CD inaruka.Asilimia kubwa ya matajiri utajiri wao wanaupata Kwa njia haramu kama ivyo Kuna makafara drug and human trafficking