Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 24,977
- 23,799
Ukalelage widima ha mmanda....Tanzania haiwezi kutawaliwa na gaidi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ukalelage widima ha mmanda....Tanzania haiwezi kutawaliwa na gaidi
Whilst the Hutu murderer is standing behind them.Matapeli hao waliojificha kwenye chaka la siasa kuwalaghai watu.
ALKAELI ASALI MBOWE akiongozana na JAKAYA FISADI KIKWETE.
A deceptive criminal racket under the guise of politics.
Says the barely educated MONSTER.Whilst the Hutu murderer is standing behind them.
JOHN JAMBAZI MUUAJI MAGUFULI.
Barely educated yeah. A fake PhD? Hell to the big NO.Says the barely educated MONSTER.
Mbowe wa Saigon?
Nimecheka Tu huyo wa nyuma na Tai yake😀😀😀Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.
Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.
Mwanga utajadiliana na giza, na demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki, watafifia na kusahaulika.
Angalia, atakayetuongoza miguu yake imetangulia wengine, kavaa kama askari wa demokrasia, anajua siasa si uadui.
Alivyosimama, anaonekana ni mwamba anayewategemeza wengine. Anasikiliza hekima za watangulizi wake kwa unyenyekevu, ataongeza na hekima zake mwenyewe na atatuvusha! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Inafahamika hiyo viongozi wote wa kiafrika wanauroho tu Madaraka.Usishangae kuona Ruto na Odinga wakikumbatiana na kupongezana keshokutwa.
Inaliwa na wajanjaAsali
Matapeli hao waliojificha kwenye chaka la siasa kuwalaghai watu.
ALKAELI ASALI MBOWE akiongozana na JAKAYA FISADI KIKWETE.
A deceptive criminal racket under the guise of politics.
Kenge wewe!Tanzania haiwezi kutawaliwa na gaidi
Jiwe yupo nyuma ana wachora tu 🤣🤣Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.