Picha hii inasema sana kuhusu siku zijazo kwa siasa na uongozi wa Tanzania

Matapeli hao waliojificha kwenye chaka la siasa kuwalaghai watu.

ALKAELI ASALI MBOWE akiongozana na JAKAYA FISADI KIKWETE.

A deceptive criminal racket under the guise of politics.
Whilst the Hutu murderer is standing behind them.
JOHN JAMBAZI MUUAJI MAGUFULI.
 
Demokrasia inapendeza zaidi pale unapokuwa na wananchi waelewa wanajua nini kinachoendelea wanafahamu haki zao. Ila ndio hivyo sasa hivi demokrasia inapimwa kwa kipimo cha kulinganisha na utawala uliyopita.
 
Picha hii ni ya mmoja aliyekosekana kwenye List ya Wasaniii wanaofoka Jukwaani
jamiiforums1267461471_387x387-jpg.2572374
 
Picha husema bila maneno. Tunakoelekea ndiko huko picha hii inakotuelekeza. Yaliyopita pia yanaonekana kwenye picha hii.

Tanzania tunayoelekea ni Tanzania ya mazungumzo na maelewano. Ni Tanzania ya demokrasia na sio Tanzania ya kiburi na maamuzi binafsi.

Mwanga utajadiliana na giza, na demokrasia itang’ara zaidi kuliko uhafidhina. Wasiopenda demokrasia wataachwa nyuma na hawatakuwa na marafiki, watafifia na kusahaulika.

Angalia, atakayetuongoza miguu yake imetangulia wengine, kavaa kama askari wa demokrasia, anajua siasa si uadui.

Alivyosimama, anaonekana ni mwamba anayewategemeza wengine. Anasikiliza hekima za watangulizi wake kwa unyenyekevu, ataongeza na hekima zake mwenyewe na atatuvusha! Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Nimecheka Tu huyo wa nyuma na Tai yake😀😀😀
 
Jiwe yupo nyuma ana wachora tu 🤣🤣
 
Back
Top Bottom