PICHA: Hii ndio Ofisi Mpya ya CCM Arusha iliyokaguliwa na Rais Samia, kuna Chama kilikusanya zaidi ya TZS 18bln Ofisi yao ya Taifa inazidiwa na hii

Sijui kwanini naangalia hapo yaani jengo kubwa ila hata Mti mmoja haujapandwa
Mnisamehe tu sipo kwenye siasa na mimi naangalia wanafanya nini kulinda mazingira

Hebu anagalia jengo utafikiri limejengwa jangwani na lingine hili

Pandeni MITI
 
Wajinga wanapongezana juu ya ujinga wao mnatukamua sisi mnafaidi keki ya taifa Kwa mafungu mkisha vimbirwa mnaanza kutujambia IPO SIKU MTAJUTA KUTUFAHAMU
 
Mimi naipenda chadema ila hili la kushindwa kujenga ofisi za HQ bado silielewi.
Msiichague chadema, ni wahuni. Mpaka waonyeshe ofisi ndio muipe kura
Unataka wajenge ofisi uhamishie watoto wako uliotupiwa na mahawara zako?
 
Ccm si chama, unajua ni Kodi kiasi gani inachotwa kwa shughuli hiyo?
 
kodi yako inatoka serikalini kuendeleza chama cha ccm
Kuna vyanzo mbalimbali vya mapato
Ruzuku
Michango
Ada
Waisani na walezi
Biashara mbalimbali mfano. Radio na Magazeti etc
Kodi za majengo(maeneo ya biashara)

Na vingine vingi...
 
Ccm si chama, unajua ni Kodi kiasi gani inachotwa kwa shughuli hiyo?
Endelea kujidanganya...! Labda CAG ana weza kukupa maelezo ktk kaguzi zake anazo zifanya ktk vyama
 
Pesa hizo ni kwa matumizi ya chama, umeme, kodi, mishahara, magari, posho, maji na mengineyo, CCM ilichota tri.1.5 pesa za serikali kulipa mishahara na matumizi mengine.
Una tatizo sehemu...
 
Vhama Cha mapinduzi kilirithi majengo yake toka serikalini,ni upuuzi kupost vihoja.tangu mwaka huo mpaka Sasa CCM imepokea ruzuku kiasi gani?tupe ilichofanya
 
Kwakweli miti haipandwi kabisa
Yaani inashangaza sana
Na wakipewa hela za umasikini wetu kulinda misitu na mazingira wanaweka mifukoni na kwenye mikutano wanaenda Sharm Al Sheikh kula Bata na kusubiri posho

Inauma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…