OffOnline
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 644
- 478
Lete Wewe Katibu MkuuLeta matumizi ya chadema nchi nzima kwa mwezi. Acha kubwabwaja.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete Wewe Katibu MkuuLeta matumizi ya chadema nchi nzima kwa mwezi. Acha kubwabwaja.
Kwakweli miti haipandwi kabisaSijui kwanini naangalia hapo yaani jengo kubwa ila hata Mti mmoja haujapandwa
Mnisamehe tu sipo kwenye siasa na mimi naangalia wanafanya nini kulinda mazingira
Hebu anagalia jengo utafikiri limejengwa jangwani na lingine hili
Pandeni MITI View attachment 2426683
ManyaraHiyo office ipo Arusha sehemu gani?
Walikusimamisha lini?Chadema mnatuangusha sana.
Unataka wajenge ofisi ukanywe chai?Bl 18 jamani bila Ofisi kweli?!
Unataka wajenge ofisi uhamishie watoto wako uliotupiwa na mahawara zako?Mimi naipenda chadema ila hili la kushindwa kujenga ofisi za HQ bado silielewi.
Msiichague chadema, ni wahuni. Mpaka waonyeshe ofisi ndio muipe kura
Wivu na akili legevu za kimasikini zitakuua.Mbowe anatumia hela zake.Weye babaako alilewea na kuchukua mimama akawaacha familia masikini mtajijua.Kimewekeza zaidi DUBAI, SOUTH AFRIKA. infact ni wala bata zaidi.
Ahahahaha.Unataka wajenge ofisi uhamishie watoto wako uliotupiwa na mahawara zako?
Ndiyo uache uponpompo.Ahahahaha.
Mbona una jazba ndugu. Au ugomvi wenu wa familia kugombania nyumba ya urithi umekuvuruga?
Ccm si chama, unajua ni Kodi kiasi gani inachotwa kwa shughuli hiyo?Kuna Chama kikubwa cha Upinzani hapa Tanzania Kati mwaka 2015-2020 kilikusanya zaidi TZS 18bln ikiwa ni pesa ya ruzuku Ila mpaka naandika makala hii Kuna baadhi ya majengo yao pale HQ Wanapanga, CCM itabaki ni Chama kiongozi na tutaongoza kwa kapindi kirefu sana.
Kuna vyanzo mbalimbali vya mapatokodi yako inatoka serikalini kuendeleza chama cha ccm
Endelea kujidanganya...! Labda CAG ana weza kukupa maelezo ktk kaguzi zake anazo zifanya ktk vyamaCcm si chama, unajua ni Kodi kiasi gani inachotwa kwa shughuli hiyo?
Una tatizo sehemu...Pesa hizo ni kwa matumizi ya chama, umeme, kodi, mishahara, magari, posho, maji na mengineyo, CCM ilichota tri.1.5 pesa za serikali kulipa mishahara na matumizi mengine.
Wewe unajua ni kiasi gani?Ccm si chama, unajua ni Kodi kiasi gani inachotwa kwa shughuli hiyo?
Yaani inashangaza sanaKwakweli miti haipandwi kabisa