Vhama Cha mapinduzi kilirithi majengo yake toka serikalini,ni upuuzi kupost vihoja.tangu mwaka huo mpaka Sasa CCM imepokea ruzuku kiasi gani?tupe ilichofanya
Yaani inashangaza sana
Na wakipewa hela za umasikini wetu kulinda misitu na mazingira wanaweka mifukoni na kwenye mikutano wanaenda Sharm Al Sheikh kula Bata na kusubiri posho
CHADEMA ina la kujifunza. Mbowe pale Machame kijiji cha Lambo anashusha mjengo mmoja hatari sana huku chama chake kikiwa hakina ofisi. Hata kama yeye ndo mmiliki wa chama nadhani kapitiliza ubinafsi. Haiwezekani asijali mradi wake unaomletea hela.