Mkunazi Njiwa
JF-Expert Member
- Apr 22, 2023
- 8,538
- 7,559
Ameiba nini ?!!Mwizi tu kama kama yake Ridhiwan. No more no less. Mbona huo umaarufu wake hatukuusikia wakati wa Magufuli ambaye hakuendekeza familia katika kuibia umma?
Psy...ic of all the time!!Guys, Lissu is the greatest Politician of our time
KabisaLucas akimwona anabubujikwa na machozi ya furaha.
Zaidi ya jina la mama yake, ana mtaji gani? Ana tofauti gani na muhoozi Museveni na watoto wengine majizi wa marais?Ameiba nini ?!!
Ushahidi upi wa huo wizi wake ?!!
Kwani watoto wa Magufuli ni machinga Kariakoo?!!!
Yaani mtoto wa rais asiwe maarufu ?!!duuhZaidi ya jina la mama yake, ana mtaji gani? Ana tofauti gani na muhoozi Museveni na watoto wengine majizi wa marais?
Kinana pia kwa mbaaaali.Kafanana na Kikwete
Sijui kama unajua unachosema mwanangu. Hatuongelei umaarufu bali uadilifu. Ushawahi kusikia kuwa watoto wa Nyerere au Magufuli ni mabilionea? Hawa ndiyo watu waliojua walichokuwa wakifanya ikulu tofauti na manyang'au weneinge walioingia na kuzitumia ikulu kuibia umma kama hawa unaowatetea. Je wamekutuma, unajikomba kama chawa wengine, au una uhusiano na ushirika nao?Yaani mtoto wa rais asiwe maarufu ?!!duuh
Hata huko ULAYA wanafuatiliwa na "paparazi" kila sekunde....
Acha kujitoa ufahamu.....sisi ni binadamu....wewe ni "alien" kutoka Venus ?!!
Du inaonekana ana baba wengi.Kinana pia kwa mbaaaali.
Rizmoko of Our Time
Mwacheni atumie wakati wake hata wewe baba/mama yako angekuwa Rais ungekuwa kama yeye au zaidi
Unaongelea maadili au madili? Huyu wetu hana maadili bali madili. Na sijui hata kama anajua maana na umuhimu wake baada ya kuachia ngazi. Ukiona kiongozi mzima anajisifu kwa uchafu wa kufuga chawa, usitegemee maadili mwanangu.Mbona marais wengine hawafanyi hivyo watoto wao kwa sababu za kimaadili ?!
Sio kweli .Mwacheni atumie wakati wake hata wewe baba/mama yako angekuwa Rais ungekuwa kama yeye au zaidi
Dunian wawili wawili kufanana na mtu kawaida.Du inaonekana ana baba wengi.
Operation code pjlk vipi!!?Huyu ndiye anawavuruga watanganyika?
Si kweli. Hii ilikuwa ni kabla ya kuja kwa teknolojia ya DNA mwanangu. Fumbua macho wengine hawafanani bali wamefananishwa na waliotia mimba.Dunian wawili wawili kufanana na mtu kawaida.