Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

Picha: Mjue Abdul Halim Hafidah Ameir, Mtoto wa Rais Samia

Zaidi ya jina la mama yake, ana mtaji gani? Ana tofauti gani na muhoozi Museveni na watoto wengine majizi wa marais?
Yaani mtoto wa rais asiwe maarufu ?!!duuh

Hata huko ULAYA wanafuatiliwa na "paparazi" kila sekunde....

Acha kujitoa ufahamu.....sisi ni binadamu....wewe ni "alien" kutoka Venus ?!!
 
Screenshot_20241224-210333.png
 
Yaani mtoto wa rais asiwe maarufu ?!!duuh

Hata huko ULAYA wanafuatiliwa na "paparazi" kila sekunde....

Acha kujitoa ufahamu.....sisi ni binadamu....wewe ni "alien" kutoka Venus ?!!
Sijui kama unajua unachosema mwanangu. Hatuongelei umaarufu bali uadilifu. Ushawahi kusikia kuwa watoto wa Nyerere au Magufuli ni mabilionea? Hawa ndiyo watu waliojua walichokuwa wakifanya ikulu tofauti na manyang'au weneinge walioingia na kuzitumia ikulu kuibia umma kama hawa unaowatetea. Je wamekutuma, unajikomba kama chawa wengine, au una uhusiano na ushirika nao?
 
Mbona marais wengine hawafanyi hivyo watoto wao kwa sababu za kimaadili ?!
Unaongelea maadili au madili? Huyu wetu hana maadili bali madili. Na sijui hata kama anajua maana na umuhimu wake baada ya kuachia ngazi. Ukiona kiongozi mzima anajisifu kwa uchafu wa kufuga chawa, usitegemee maadili mwanangu.
 
Back
Top Bottom