GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wahuni wameingilia maandamano,l, kuchoma moto vituo vya mafuta na mwendokasi na maandamano wapi na wapi?
 
"Maeneo ya Kimara polisi wanapiga vyuma vya moto wakiunganisha na mabomu ya machozi".....Kwa mujibu wa mashuhuda
 
Arusha hasa Mjini muitikio haujawa mkubwa kutokana na Trick waliyoifanya kwa kumleta MAKONDA.

MAKONDA anakubalika mno na watu wa huku, na Wanataka awe Mbunge wao.

Aliishi nao vizuri akiwa RC. Wamemlindia HESHIMA not otherwise.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…