GE2025 Picha na Video: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu 29 Oktoba 2025

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Kwa ninayoyaona hawana time na kuzuia maandamano, wao wapo graundi wanaangalia tu
 
Jeshi pia lihakikishe hiyo barabara ya Morogoro Rd iwe wazi kwa ajili ya mizigo kutoka Daresalama kuelekea nchi jirani na mikoani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…