PICHA: Naombeni kujua huu ni ugonjwa gani unaotutesa hivi mimi na familia yangu

LA7

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
655
Reaction score
2,369
Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna

Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.

Kama Kuna mtu anisaidie maana watoto ndo zaidi inawaathiri,

Ulianzia kwa mtoto Kisha kwamama na mimi wa mwisho.

Sasahivi ndo najaribu dawa ya kimasai
 

Attachments

  • IMG_20250101_204446_420.jpg
    388.4 KB · Views: 16
Mmeshaenda hospitali? Mliambiwaje?
Tafuta mafuta ya blackseed mpake na kunywa kutwa mara 2 (Kunywa wakubwa ni ml 10 na watoto ml 5)
 
Possible reasons
  1. Chips zilizokaangiwa mafuta mabaya (yaliyochanganywa na ya transfoma)
  2. Sabuni
  3. Maji ya kuoga
  4. Nyama, maziwa (nyama ya mnyama aliyedungwa sindano hakumaliza siku saba )
 
Kaswende ulipima?
 
Nenda tu hospitali nzuri utapata matibabu, utaisha tu. Nimemuonea huruma mtoto.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…