Wagumu Tunadumu
JF-Expert Member
- Dec 10, 2022
- 5,276
- 17,354
Kuna mchepuko wangu watoto wake wote wameugua hvyo isipokuwa yeye,tena mwingine yaliingia mpaka puani,kateseka sana kuwaponyesha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole sana wacha mapambano yaendelee mkuu wangu.Nipo mkuu, harakati ni nyingi sana, mda mwingine nakosa Hadi nafasi ya kuingia JF
Pamoja sana mkuu 🤝Pole sana wacha mapambano yaendelee mkuu wangu.
Kama hii shida imewapata familia yote na mnaishi pamoja, uwezekano mkubwa sana ni maji mnayooga yanaingilina na maji machafu ya chooni. Kama mna kisima nyumbani chunguza maji ya hicho kisima, peleka hata maabara, na kama ni maji ya bomba fuatilia maungio ya hilo bomba hadi kufika kwako, itakua kuna leakage inayobeba maji machafuHuu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana watoto ndo zaidi inawaathiri,
Ulianzia kwa mtoto Kisha kwamama na mimi wa mwisho.
Sasahivi ndo najaribu dawa ya kimasaiView attachment 3190231View attachment 3190232View attachment 3190233![]()
🫱🏻🫲🏿Pamoja sana mkuu 🤝
Huu ni upele,kitaalamu unaitwa scabies,tumieni dawa inaitwa BBE.Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana watoto ndo zaidi inawaathiri,
Ulianzia kwa mtoto Kisha kwamama na mimi wa mwisho.
Sasahivi ndo najaribu dawa ya kimasaiView attachment 3190231View attachment 3190232View attachment 3190233![]()
Huu ni ugonjwa wa upele,kitaalamu unaitwa scabies, Tumia dawa inaitwa BBE.Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana watoto ndo zaidi inawaathiri,
Ulianzia kwa mtoto Kisha kwamama na mimi wa mwisho.
Sasahivi ndo najaribu dawa ya kimasaiView attachment 3190231View attachment 3190232View attachment 3190233![]()
Huu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna

Dawa yake ni elfu mbili tu,na ni ya kupaka inaitwa BBE,tusimgeuze fursa ndugu yetu.Mkuu tumia manganese oil, mls 150,unapaka na purify manganese water, unakunywa, ndani ya siku 3,ugonjwa unaisha, ni tiba za kutoka uturuki, Niko mwanza nitakusaidia na gharama ni na nafuu, simu yangu ni 0768137881,asante
Wahi haraka sana duka la dawa kununue BBE ni dawa ya kupika baada ya kuogaHuu ugonjwa ulitutokea wate mimi na mke na watoto Ila nimetumia dawa mbalimbali lakini huu mwezi wa tatu naona tunaendelea kujikuna
Hasa kwa watoto wangu hasa pia usiku wanajikuna Sana tulienda hospitali hawakutupima Ila tu tuliambiwa dawa za kununua za kuchua.
Kama Kuna mtu anisaidie maana watoto ndo zaidi inawaathiri,
Ulianzia kwa mtoto Kisha kwamama na mimi wa mwisho.
Sasahivi ndo najaribu dawa ya kimasaiView attachment 3190231View attachment 3190232View attachment 3190233![]()
BBE kipindi Cha erosion of scrotum oyaah 😂Jaribu BBE dawa fulani ya upele kama sio allegy ya mafuta fulan hv nayahifadhi kwa jina