Uchaguzi 2020 Picha: Profesa Lipumba akihutubia Mkutano wa kampeni Uwanja wa Mwembetogwa, Iringa Mjini

Is this True?
 
Hapa ni Mheshimiwa Profesa Haruna Lipumba jukwaani:

View attachment 2550802

Enyi mliokuwa mnamshabikia, kumtelekeza huyu ndugu hivi awaelewe je?
Picha hiyo ni Iringa kwenye kampeni za uchaguzi mkuu 2020 na nilipita eneo hilo siku hiyo. Tangu hapo nikawa najiuliza huyu ni Professor kweli au aliiba mitihani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…