Rabonn
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 5,789
- 11,106
Dah braza mimi hata sijayasema hayo uloyasema wewe please.Af tunavisema vile tunavyoviishi kulingana na mfumo wetu kiuhalisia.Ukifanikiwq usiwaone wenzio wazembe.
Huo ni ugonjwa mbaya sana
Imagine (wala usitumie hisia,tumia akil ya kawaida tu) nimemaliza elimu ya chuo at 24 years huna kazi huna uwezo wa kuzalisha sasa hapo kusemwa vibaya kuko wapi mkuu??Kukosa pesa kwa hali hiyo ni jambo obvious tu.Usinielewe vibaya