PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam




Umeona mapokezi ya mpina?
Unajifunza kitu gani?
 
Taifa Masikini pekee lenye Ikulu mbili zenye hadhi sawa, then tunakaa kutafuta Mchawi, hao Mawaziri hapo wanalipwa Perdiem kuwepo hapo Dar,
Kwa mtu mwenye utimamu wa akili, hawezi kamwe kusifia huu ujuha wa ikulu mbili.

Kwa nini vikao vya baraza la mawaziri visifanyike Chamwino!!??
Ofisi za serikali zimehamia Dodoma, maana yake waziri anapokuwa Dar ni nnje ya eneo lake kikazi, hivyo posho za kujikimu za waziri na wasaidizi wake zinahusika.
 
Kwani wapi umeonyeshwa daftari ukaona wanasaini posho
 
Huyu mama ni sawa na yule Mke wa King Luis wa Ufaransa, ni Mwanamke wa anasa sana, yaani kwake hangalii gharama
 
Leo ni Ikulu ya Magogoni, kesho ni Ikulu ya Chamwino....

Hii nchi na watu wake ni ya kustaajabisha sana!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…