Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
- #61
Andika ueleweke vizuriHayo maji mbona sionagi wakinywa
ngwa

Hata wewe hujui kama umesifia?Nimeongea ukweli na siyo kusifia
Chawa Pro max weeee Uliyekosa AKILI, Weka number Yako ya Simu ukachukue Buku 7 Mitaa ya LumumbaMama yupo Makini na yupo tayari kimapambano kama Komandoo . Kwani wewe Umesahau namna alivyopambana kikomandoo mafuta yalipopanda bei kile kipindi? Au umesahau kuwa alikuwa anatoa ruzuku ya Billion mia moja kila mwezi katika mafuta? Mama ni mtu na nusu
Umesamehewa maana hata ulichokiandika wenda hujui maana yake.
Ni kikao cha mwisho mana tarehe 27 bunge linavunjwa na hakutakuwa na waziri wala naibu waziri.siku ile ile mandinga yote yanaenda pakiwa pale chimbo na wizara zinabaki kuongozwa na makatibu wakuu ndo ujue makatibu wakuu ndo waongoza nchi 😄Ndio kwanza tunaanza.
Mungu akusamehe sana
Kikao cha mabilionea, hapo ni ulaji na dili kwa kwenda mbele, kila mmoja kwa kadiri kamba yake inavyomruhusu. Muda wa lala salama huu mafungu yanawekwa sawa ili rushwa ikamwagwe majimboni!Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza Kikao kizito cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar. Ambapo hii inakuja akiwa Ametoka kufanya ziara nzito na yenye mafanikio makubwa sana kanda ya ziwa kwa Mikoa ya Simiyu na Mwanza. Ambapo akiwa katika ziara hiyo aliweza kuzindua miradi mbalimbali mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta nuru na Tabasamu kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Ambapo miradi hiyo ni ile ya Maji, Miundombinu,Elimu N.k.pamoja na kuzindua kiwanda . Lakini pia Alikagua miradi mbalimbali na kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara. ambayo ilishuhudia mafuriko ya watu waliofurika kwa wingi kuwahi kushuhudiwa hapa Nchini. Hii yote ikitokana na kukubalika ,kupendwa na kuaminika mbele ya watanzania.
Sasa pasipo kupumzika wala kukaa Rais wetu Mpendwa Ameendelea na kuchapa kazi kwa kufanya na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Ambapo ni katika vikao vya aina hiyo mambo mazito yenye kutoa muelekeo wa Nchi na masuala mbalimbali hujadiliwa. Hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anayejua wajibu wake,aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watu.
Hii ndio Faida ya kuwa na kiongozi ambaye ametanguliza mbele maslahi ya wananchi. ndio maana anafanya kazi usiku na mchana paspo kupumzika wala kusema hizi ni siku za mapumziko. Muda wote Mama yetu yupo kazini. Kwake Maisha yake ni kwa ajili ya kuleta majawabu na majibu kwa watu,ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu, ni kwa ajili ya Kugusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya. Muda wote Rais wetu Mpendwa anapanga mipango kwa ajili ya kuboresha Maisha ya watanzania.
Kwake ikulu ni Sehemu ya kutoa njia na kutoa maelekezo ya namna ya kutatua kero za wananchi,ikulu kwake ni Sehemu ya kuwashia taa ya kuangaza njia za watanzania katika uchumi wao na maisha yao. Kwake Ikulu ni Ofisi ya watanzania wote kwa ajili ya kotoa huduma na kuwapelekea Watanzania mahali walipo. Moyo wake muda wote upo kwa watanzania. Huo na hiyo ndio maana halisi ya Utumishi kwa ajili ya watu. View attachment 3379031
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Hapo jijini Dar ni nje ya kituo cha kazi, kwa hiyo maposho kibao - fueza zetu zinaliwa!!Ndugu zangu Watanzania,

Embu acha kuwachafua watuKikao cha mabilionea, hapo ni ulaji na dili kwa kwenda mbele, kila mmoja kwa kadiri kamba yake inavyomruhusu. Muda wa lala salama huu mafungu yanawekwa sawa ili rushwa ikamwagwe majimboni!
Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi!
Genge la mafisadi linapanga jinsi ya kugawana keki ya taifa letuNdugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza Kikao kizito cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar. Ambapo hii inakuja akiwa Ametoka kufanya ziara nzito na yenye mafanikio makubwa sana kanda ya ziwa kwa Mikoa ya Simiyu na Mwanza. Ambapo akiwa katika ziara hiyo aliweza kuzindua miradi mbalimbali mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta nuru na Tabasamu kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Ambapo miradi hiyo ni ile ya Maji, Miundombinu,Elimu N.k.pamoja na kuzindua kiwanda . Lakini pia Alikagua miradi mbalimbali na kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara. ambayo ilishuhudia mafuriko ya watu waliofurika kwa wingi kuwahi kushuhudiwa hapa Nchini. Hii yote ikitokana na kukubalika ,kupendwa na kuaminika mbele ya watanzania.
Sasa pasipo kupumzika wala kukaa Rais wetu Mpendwa Ameendelea na kuchapa kazi kwa kufanya na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Ambapo ni katika vikao vya aina hiyo mambo mazito yenye kutoa muelekeo wa Nchi na masuala mbalimbali hujadiliwa. Hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anayejua wajibu wake,aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watu.
Hii ndio Faida ya kuwa na kiongozi ambaye ametanguliza mbele maslahi ya wananchi. ndio maana anafanya kazi usiku na mchana paspo kupumzika wala kusema hizi ni siku za mapumziko. Muda wote Mama yetu yupo kazini. Kwake Maisha yake ni kwa ajili ya kuleta majawabu na majibu kwa watu,ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu, ni kwa ajili ya Kugusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya. Muda wote Rais wetu Mpendwa anapanga mipango kwa ajili ya kuboresha Maisha ya watanzania.
Kwake ikulu ni Sehemu ya kutoa njia na kutoa maelekezo ya namna ya kutatua kero za wananchi,ikulu kwake ni Sehemu ya kuwashia taa ya kuangaza njia za watanzania katika uchumi wao na maisha yao. Kwake Ikulu ni Ofisi ya watanzania wote kwa ajili ya kotoa huduma na kuwapelekea Watanzania mahali walipo. Moyo wake muda wote upo kwa watanzania. Huo na hiyo ndio maana halisi ya Utumishi kwa ajili ya watu. View attachment 3379031
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Inasikitisha sanaHii nchi bana.
Eti Samia nae ni Rais!!
Wanajadili namna ya kula kwa urefu wa kamba zao shingoni!Huna akili kabisa .kwa hiyo unajua ajenda ya hicho kikao?
Oktoba TunatikiNdugu zangu Watanzania,

Tunatiki kwa kishindoOktoba Tunatiki
Kodi za Watanzania hizo anazitumia hivi. Duh ila Samia mmh. Hivi kupata Rais wa namna hii ni kwamba kuna mahali tulimkosea Mungu au nini. Mbona kama kuna laana inatutafuna Watanzania na hatujui tulikosea wapi 🥹
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Ameongoza Kikao kizito cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar. Ambapo hii inakuja akiwa Ametoka kufanya ziara nzito na yenye mafanikio makubwa sana kanda ya ziwa kwa Mikoa ya Simiyu na Mwanza. Ambapo akiwa katika ziara hiyo aliweza kuzindua miradi mbalimbali mikubwa ya maendeleo ambayo imeleta nuru na Tabasamu kwa wananchi wa kanda ya ziwa.
Ambapo miradi hiyo ni ile ya Maji, Miundombinu,Elimu N.k.pamoja na kuzindua kiwanda . Lakini pia Alikagua miradi mbalimbali na kutembelea maeneo mbalimbali pamoja na kuzungumza na wananchi katika mikutano ya hadhara. ambayo ilishuhudia mafuriko ya watu waliofurika kwa wingi kuwahi kushuhudiwa hapa Nchini. Hii yote ikitokana na kukubalika ,kupendwa na kuaminika mbele ya watanzania.
Sasa pasipo kupumzika wala kukaa Rais wetu Mpendwa Ameendelea na kuchapa kazi kwa kufanya na kuongoza kikao cha Baraza la Mawaziri. Ambapo ni katika vikao vya aina hiyo mambo mazito yenye kutoa muelekeo wa Nchi na masuala mbalimbali hujadiliwa. Hii ndio raha ya kuwa na kiongozi anayejua wajibu wake,aliyejitolea Maisha yake kwa ajili ya kuwatumikia watu.
Hii ndio Faida ya kuwa na kiongozi ambaye ametanguliza mbele maslahi ya wananchi. ndio maana anafanya kazi usiku na mchana paspo kupumzika wala kusema hizi ni siku za mapumziko. Muda wote Mama yetu yupo kazini. Kwake Maisha yake ni kwa ajili ya kuleta majawabu na majibu kwa watu,ni kwa ajili ya kuinua maisha ya watu, ni kwa ajili ya Kugusa Maisha ya watu na kuleta matokeo chanya. Muda wote Rais wetu Mpendwa anapanga mipango kwa ajili ya kuboresha Maisha ya watanzania.
Kwake ikulu ni Sehemu ya kutoa njia na kutoa maelekezo ya namna ya kutatua kero za wananchi,ikulu kwake ni Sehemu ya kuwashia taa ya kuangaza njia za watanzania katika uchumi wao na maisha yao. Kwake Ikulu ni Ofisi ya watanzania wote kwa ajili ya kotoa huduma na kuwapelekea Watanzania mahali walipo. Moyo wake muda wote upo kwa watanzania. Huo na hiyo ndio maana halisi ya Utumishi kwa ajili ya watu. View attachment 3379031
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Acha ujinga wako hapa weweKodi za Watanzania hizo anazitumia hivi. Duh ila Samia mmh. Hivi kupata Rais wa namna hii ni kwamba kuna mahali tulimkosea Mungu au nini. Mbona kama kuna laana inatutafuna Watanzania na hatujui tulikosea wapi 🥹