PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

Nenda ukawaambie ndugu zako wagombee au hata wazazi wako nenda ukawachukulie Fomu ya Kugombea.
Wazazi na ndugu zangu wana kazi zao nyingine. Sio wanasiasa
Tunapoongelea Urais tunaongelea wanasiasa, na hao wanasiasa tunaowahitaji ni wanasiasa wenye maono. Tunao wanasiasa wenye maono hapa Tanzania na Samia sio mmoja wao
 
Kwa hiyo wazazi wako hawana Maono? Kama wanayo si uwaambie wagombee Uongozi?
 
Why not Dodoma vilipo vituo vya kazi vya mawaziri na mh. Rais mwenyewe? Kivyovyote vile. ni gharama kubwa kuwaleta mawaziri, wasaidizi wao na mh Rais mwenyewe Dar es Salaam. Hebu bwana mshamba tupe raarifa, ni kiasi gani cha fedha kimetumika?, na je, ni kwanini wameamua kufanyia kikao hicho Dar na sio Dodoma?

Next time ukiwa unaandika, jitahidi kuingiza akili, badala ya kusimulia kama hadithi yenye mtiririko wa kupasha habari, weka uchambuzi ndani yake huku ukiangazia pande zote mbili, yaani faida na hasara na mwisho unaweka mapendekezo.

Luis Mshamba
Kijana chawa muaibisha wazazi wangu
S.L.P 10,
Maslahi binafsi
007192498
 
Acha ujinga wako hapa wewe
 
Back
Top Bottom