PICHA: Rais Samia aongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri Ikulu ya Dar es salaam

Chawa Pro max weeee Uliyekosa AKILI, Weka number Yako ya Simu ukachukue Buku 7 Mitaa ya Lumumba
 
Ndio kwanza tunaanza.
Ni kikao cha mwisho mana tarehe 27 bunge linavunjwa na hakutakuwa na waziri wala naibu waziri.siku ile ile mandinga yote yanaenda pakiwa pale chimbo na wizara zinabaki kuongozwa na makatibu wakuu ndo ujue makatibu wakuu ndo waongoza nchi 😄
 
Kikao cha mabilionea, hapo ni ulaji na dili kwa kwenda mbele, kila mmoja kwa kadiri kamba yake inavyomruhusu. Muda wa lala salama huu mafungu yanawekwa sawa ili rushwa ikamwagwe majimboni!

Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi!
 
Hapo jijini Dar ni nje ya kituo cha kazi, kwa hiyo maposho kibao - fueza zetu zinaliwa!!
 
Kikao cha mabilionea, hapo ni ulaji na dili kwa kwenda mbele, kila mmoja kwa kadiri kamba yake inavyomruhusu. Muda wa lala salama huu mafungu yanawekwa sawa ili rushwa ikamwagwe majimboni!

Hakuna mabadiliko, hakuna uchaguzi!
Embu acha kuwachafua watu
 
Genge la mafisadi linapanga jinsi ya kugawana keki ya taifa letu
 
Oktoba Tunatiki
 
Siku hizi mawaziri hawaendi kanisani.
 
Kodi za Watanzania hizo anazitumia hivi. Duh ila Samia mmh. Hivi kupata Rais wa namna hii ni kwamba kuna mahali tulimkosea Mungu au nini. Mbona kama kuna laana inatutafuna Watanzania na hatujui tulikosea wapi 🥹
Acha ujinga wako hapa wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…