Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
- Thread starter
-
- #81
Ni kazi juu ya kazi kwa ajili ya kuwatumikia watanzania. Hata ukiwa umelala na unakoroma ni lazima ufahamu ya kuwa Serikali inakuwa ipo kaziniSiku hizi mawaziri hawaendi kanisani.
Hakuna nchi inastahili kuwa na Rais kama Samia 😢Acha ujinga wako hapa wewe
Hakika Kura ni kwa Mama Dr Samia Suluhu HassanTunatiki kwa kishindo
Nenda ukawaambie ndugu zako wagombee au hata wazazi wako nenda ukawachukulie Fomu ya Kugombea.Hakuna nchi inastahili kuwa na Rais kama Samia 😢
Wanyama hao hatari
Wazazi na ndugu zangu wana kazi zao nyingine. Sio wanasiasaNenda ukawaambie ndugu zako wagombee au hata wazazi wako nenda ukawachukulie Fomu ya Kugombea.
Oohoooo Oohoooo....!!Na Baki Na Na Nakigugumiziii...(In Inspector Haroun's Voisi)...
Kwa hiyo wazazi wako hawana Maono? Kama wanayo si uwaambie wagombee Uongozi?Wazazi na ndugu zangu wana kazi zao nyingine. Sio wanasiasa
Tunapoongelea Urais tunaongelea wanasiasa, na hao wanasiasa tunaowahitaji ni wanasiasa wenye maono. Tunao wanasiasa wenye maono hapa Tanzania na Samia sio mmoja wao
Unachokonolewa niniUmeibiwa nini hapo ulipo?
Samia hafai kuwa Rais, anatuharibia nchiKwa hiyo wazazi wako hawana Maono? Kama wanayo si uwaambie wagombee Uongozi?
Wewe ndiye hufai hata kuitwa mtanzaniaSamia hafai kuwa Rais, anatuharibia nchi
Acha ujinga wako hapa weweWhy not Dodoma vilipo vituo vya kazi vya mawaziri na mh. Rais mwenyewe? Kivyovyote vile. ni gharama kubwa kuwaleta mawaziri, wasaidizi wao na mh Rais mwenyewe Dar es Salaam. Hebu bwana mshamba tupe raarifa, ni kiasi gani cha fedha kimetumika?, na je, ni kwanini wameamua kufanyia kikao hicho Dar na sio Dodoma?
Next time ukiwa unaandika, jitahidi kuingiza akili, badala ya kusimulia kama hadithi yenye mtiririko wa kupasha habari, weka uchambuzi ndani yake huku ukiangazia pande zote mbili, yaani faida na hasara na mwisho unaweka mapendekezo.
Luis Mshamba
Kijana chawa muaibisha wazazi wangu
S.L.P 10,
Maslahi binafsi
007192498
Wewe ndiye hufai hata kuitwa mtanzaniaWewe ndiye hufai hata kuitwa mtanzania
Kaka mshamba acha ushamba, shtuka mi nakusanua coz uchawa inabidi uwe smart ili ikulipeAcha ujinga wako hapa wewe
Ungejibu hoja kiazi mbatata weweAcha ujinga wako hapa wewe
Backbencher mie wee inaelelkea ni front bencher.Andika ueleweke vizuri