Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

tpid dictators of africa, badala ya ku deal na science ya ugunduzi wa vitu wanahangaika kutukuza madikiteita wenzaa
 
Watanganyika ni mabingwa wa kujadili mambo Madogo Madogo lakini yanayogusa uchumi wao hugeuka Chawa

Mjadala wa leo ni Sanamu ya Nyerere iliyozinduliwa Ethiopia

Leo Dr Kigwangalla anamiminiwa sifa [emoji23][emoji23]
Sema we ndo unataka kuleta mjadala wa hovyo kabisa humu
 
Kikubwa ni dhamira ya kumuweka Nyerere, mengine yatajulikana mbele ya safari🀣🀣🀣.
 
kama ni kigwangala ndio kahusika kuichonga basi ndio yaleyale ya burigi yanajirudia πŸ’
 
SANAMU YA JULIUS NYERERE AFRICAN UNION
Sanamu ya Mwalimu Nyerere iliyoziunduliwa Addis Ababa imeninyong'onyeza kupita kiasi.

Imenivunja nguvu kwa sababu hiyo sanamu huyo si Julius Nyerere.

Nimeingia Maktaba kutafuta picha ambayo Mwalimu itamuounyesha kanyanyua mkono ili ifanane na picha ya sanamu ili watu wafananishe na waone tofauti kubwa iliyoka baina ya Nyerere sanamu na Nyerere mwenyewe halisi alivyokuwa.


 
Kwahiyo huyo alosimama na Mwalimu Nyerere ni muislam yupi? Najua ndicho kilichojificha moyoni mwako.
 
Ukombozi upi Bora tungebakia na wakoloni tungekuwa mbali kuliko wezi hawa.
Maisha ya waafrika yamekuwa duni sana baada ya uhuru.
Kwa akili yako hii bora baba yako angetumia kondom au angemwagia nje
 
Well put mkuu, kongole ChoiceVariable
 
Ukweka akili yako kuwa hiyo sanamu ya Baba wa Taifa utaishia kuamini hivyo. Ninaamini baba wa Taifa hakuwa na picha moja kwa kuwa alipigwa picha nyingi katika maisha yake. Hiyo sanamu inatoka katika moja ya appearances zake.

Binafsi sina shida naamini ni yeye kwa vile hata mwanaye Madaraka Nyerere alikuwapo kwenye jopo la kuipitisha kuwa ni yeye.
 
 

Attachments

  • IMG_0980.jpeg
    107.5 KB · Views: 2
Tanzania aliyoilenga Nyerere siyo hii inayoliwa kwa mwendo wa kamba za kupimiana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…