Picha: Sanamu ya Nyerere Makao Makuu Umoja wa Afrika, ni yeye au lah?

ila kigwa mhuni sana. Nyerere angekuwa baba yangu ningemfungulia kesi huyu jamaa.
 
Hiyo ni dalili kuwa Nyerere alishasahaulika, hata taswira yake hakuna anayemkumbuka..... au kakunja sura kwa vile jua linamtandika?
 
Vijana mshazoea 3D jamani hilo sanamu lipo sawa japo sio 3D.
 
Wamepatia tu hiyo suit na ndula.
 
Hiyo sanamu nimeangalia nikadhani ni Kwame Nkrumah maana sura siyo kabisa ya Baba wa Taifa hili
 
Hiyo sanamu nimeangalia nikadhani ni Kwame Nkrumah maana sura siyo kabisa ya Baba wa Taifa hili
Sca...
Mimi nimeweka uzi mapema alfajir kuhusu sanamu ya Julius Nyerere lakini naona kama vile imeondolewa labda kwa kuwa umewekwa uzi huu ambao somo ni moja.

Kwa ajili hii basi naungana na uzi huu kwa kuweka tena yale niliyosema pamoja na picha.

Naamini itanogesha:

''Sanamu ya Mwalimu Nyerere iliyoziunduliwa Addis Ababa imeninyong'onyeza kupita kiasi.

Imenivunja nguvu kwa sababu hiyo sanamu huyo si Julius Nyerere.
Nimeingia Maktaba kutafuta picha ambayo Mwalimu itamuounyesha kanyanyua mkono ili ifanane na picha ya sanamu ili watu wafananishe na waone tofauti kubwa iliyoko baina ya Nyerere sanamu na Nyerere mwenyewe halisi alivyokuwa.''

Picha ya tatu inamwonyesha Mwalimu Nyerere na mchonganyi sanamu wakati wa uhai wake.





 
Huyo ni Lucas mwashambwa 😂😂😂😂😂
 
Ni wewe
 
sijui kwa nini Mwl. JKN huwa ana bahati mbaya ya kukosewa sanamu zake!
 
Huyo ni Nyerere.

Madaraka Nyerere 🤣🤣🤣
 
Ukimwangalia kwa pembeni ni yeye ukimuangalia kwa mbele sio yeye iĺa huenda ni yeye ila wametumia sura ya kipindi anaumwa kwa hiyo ni sura ya mwezi October 1999.
Ila pia inawezekana pia kila mtu ana Nyerere wake yupo na huyu
 

Attachments

  • 20240218_221618.jpg
    832 KB · Views: 4
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…