PICHA: Tazama Namna Walinzi Wa Rais Samia Walivyo Makini na Umakini Kumlinda

Bleeding date kuna kuwa kuna nuka dame chafu
 
Chawa hilo Halijawah hata kulaani. Mauaji kazi kusifia sifia
Sahv unasifia mpaka ma bodyguard
 
Sometimes nadhani Luca zinakuruka kidogo
 
Kama wapo makini kwa nini unataka na kenge tumlinde?
 
Hujui tofauti ya mlinzi na mpambe.

Kunguni hopeless kabisa.
 
wameolewa!
 
"Mwenyezi Mungu asipolinda mji walindao wafanya kazi Bure"

Zaburi 127:1
 
Hayo ni maisha binafsi ya mtu.
Nadhani kuwa hujui kwamba kwenye security circles, spouses wana umuhimu wa hali ya juu sana. Wengine hamjui kwa nini Putin aliachana na mke wake takribani miaka 20 iliyopita na hadi leo hii bado anaishi single.
 
Ulindwe hata na nani haisaidii kama raia hawakupendi.
Mifano ipo....
 
Mlinzi imara ni MUNGU pekee hawa wengine ni mbwembwe tu .

Magu/ Jiwe alikuwa na ulinzi zaidi ya huyu bibi yenu ila siku ya kufa hakuna mlinzi aliyezuia kifo chake.
 
"Mwenyezi Mungu asipolinda mji walindao wafanya kazi Bure"

Zaburi 127:1
Na ndio maana unaona Rais wetu akiendelea kuwa salama na mambo yakipangika kwa sababu anayetoa njia na maarifa ni Mungu Mwenyewe
 
Zaburi 127
1 Bwana asipoijenga nyumba Waijengao wafanya kazi bure. Bwana asipoulinda mji Yeye aulindaye akesha bure.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…