CHIEF PRIEST
JF-Expert Member
- Dec 13, 2021
- 21,737
- 42,892
Huyo ni zao la mikesha ya mwenge hata hamjui baba yake halisi ndiyo maana anapuyanga ovyo.Huyu mtoto ni bure kabisa. Yaani utafikiri alizaliwa wakati wa njaa. Haiwezekani akili yake yote ameihamishia tumboni!
Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendaloHuyo ni zao la mikesha ya mwenge hata hamjui baba yake halisi ndiyo maana anapuyanga ovyo.
Mpuuzi mkubwa wewe asiye na akili hapo ni asiyejua kutofautisha mpambe na mlinzi ambaye ni wewe.Ungeacha wenye akili Timamu wajadili hoja. Kwani unaona hao wote ni wapambe?
Hivi we jamaa una akili kweli!?Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .
Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.
Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.
Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.
Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Wewe ndiye huna akiliMpuuzi mkubwa wewe asiye na akili hapo ni asiyejua kutofautisha mpambe na mlinzi ambaye ni wewe.
Ndio nina akili kubwa kuliko ukoo wako wooote.Hivi we jamaa una akili kweli!?
Huwezi ukaona cha ajabu kwa sababu akili yako inaona karibu sanaHata waliopita walilindwa hivyo hivyo! Hakuna cha ajabu.
Kaka kazi kama ya kwako napataje?Ndugu zangu Watanzania,
Mimi ni mfuatiliaji mkubwa sana wa ziara za Mheshimiwa Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza njia, simba wa nyika, komandoo wa vita, nyota ya matumaini na nuru ya wanyonge.
Napenda sana matukio na namna mambo yanavyopangwa kitaalamu na kiumaridadi. Napenda na kukoshwa sana na umakini wa walinzi wa Rais wetu Mpendwa. Namna wanavyojipanga katika tukio au matukio yanayohusisha watu wengi au katika maeneo ya Rais wetu Mpendwa kusalimiana na watu au viongozi au katika upigaji wa picha au pale Rais anapokuwa jukwaani kuhutubia .
Kiukweli unaona na kutambua namna kulivyo na umakini na mpangilio wenye umakini ,weledi ,akili na utalaamu wa hali ya juu sana katika upangaji na mpangilio wa kikosi cha walinzi wa Rais wetu Mpendwa.
Embu angalia picha hii hapa chini ya walinzi hawa wawili. Hapa unaona ni walinzi wenye umakini mkubwa sana na wenye utulivu na utimamu wa akili na mwili. Ni walinzi ambao kimaumbo na kimo wana uwezo wa kuona matukio yote kutoka pande zote kumzunguka Mheshimiwa Rais.
Kwa Vimo vyao Wana Uwezo wa kuzungusha macho yao na kutupa kila upande na kuona kila kitu . Kwa kila tukio lililo mbele ya Rais au pembeni ya Rais wana uwezo wa kuliona bila kipingamizi wala kizuizi cha aina yoyote ile. Hata ukiwaangalia tu muonekano wao unaona kabisa ni watu waliopikwa ,kupikika na kuiva kisawasawa katika eneo la ulinzi wa Rais.
Kwa hakika najivunia Utanzania wangu. Najivunia Taifa na Nchi yangu .najivunia Rais wangu Mama Samia. Najivunia vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na nina imani navyo kubwa sana na pia nina imani katika CCM chama kilicho na uchungu na Maisha ya watanzania.View attachment 3357145
Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Mlinzi ni Mungu kupitia Malaika wake maana kama Bwana hajaulinda Mji wake wakeshao wanafanya kazi bure.Ndugu zangu Watanzania,

Sasa unaendeleaje kukaa chama cha wauajiKwani ulikufa lini ukakuta sijalaani.
Machozi wapi sasa ,au yamekaukaNdugu zangu Watanzania,

Kwani uongo, ungekuwa na baba ungemdhalilisha kwa huu upuuzi wako humu?Nimekusamehe bure kabisa maana hujui ulitendalo
Mimi ni mkulima. Kwa hiyo ukitaka kulima niambie nikutafutie mashamba ya kukodi.Kaka kazi kama ya kwako napataje?
Naweza ku push agenda!
Mimi ni mzima kiakili na kimwiliWejamaa nduguzako wakuwahi, nikama una loose connection upstairs.