balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,743 Reaction score 13,657 Dec 8, 2023 #381 machiaveli said: Arusha Kuna mvua za kistaarabu sana Click to expand... Haifikii huku kwetu
P Precious Diamond JF-Expert Member Joined Jun 9, 2023 Posts 593 Reaction score 1,376 Dec 8, 2023 Thread starter #382 Your browser is not able to display this video. Leo hiyo maeneo ya Dar
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 27, 2024 #383 Pictures Hizi Morogoro Mjini Katikati
Down To Earth JF-Expert Member Joined Jul 8, 2011 Posts 21,940 Reaction score 16,643 Jan 27, 2024 #384 mnailalamikia serikali wakati wa mvua, ikifika kiangazi mje kuishukuru pia.
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 73,773 Reaction score 102,126 Jan 27, 2024 #385 Kwa hilo tope ndani ya mifereji, ikichapa nyingine tena lazima maji yakimbilie kwenye nyumba za watu...
Kwa hilo tope ndani ya mifereji, ikichapa nyingine tena lazima maji yakimbilie kwenye nyumba za watu...
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 301,221 Reaction score 1,172,274 Jan 27, 2024 #386 Duh aiseee hatari
Kennedy JF-Expert Member Joined Dec 28, 2011 Posts 54,894 Reaction score 64,043 Jan 27, 2024 #388 Watu8 said: Kwa hilo tope ndani ya mifereji, ikichapa nyingine tena lazima maji yakimbilie kwenye nyumba za watu... Click to expand... Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Imesema Leo Na Kesho Mikoa 5 Ukiwemo Morogoro Watapata Mvua Nyingi Sana Hapo Ndiyo Yatapoteza Uelekeo Na Kuingia Kwenye Nyumba, Maduka
Watu8 said: Kwa hilo tope ndani ya mifereji, ikichapa nyingine tena lazima maji yakimbilie kwenye nyumba za watu... Click to expand... Mamlaka Ya Hali Ya Hewa Imesema Leo Na Kesho Mikoa 5 Ukiwemo Morogoro Watapata Mvua Nyingi Sana Hapo Ndiyo Yatapoteza Uelekeo Na Kuingia Kwenye Nyumba, Maduka
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 24,262 Reaction score 58,728 Aug 16, 2024 #389 To yeye said: ππππmambo ni mengi muda mchache Click to expand... πππππππππππ
To yeye said: ππππmambo ni mengi muda mchache Click to expand... πππππππππππ