Makari hodari
JF-Expert Member
- May 17, 2022
- 3,339
- 6,666
Alisema msomi mmoja "uwezo wa ubongo wa mwanaadamu asili yake kama umejikuja au umejinyongorota lakini ukikunjuliwa unaweza kutoka hapa Afrika mpaka bara Amerika na kurudi kama round nne hivi"Najua hili na nilikuwa namwonyesha mjinga mmoja kwamba binadamu tumepewa uwezo wa kufanya makubwa na siyo kila kitu ni kudra za Mungu.
Hiyo ni falsafa na ilikuwa na maana. Chakata kichwa uelewe maana na uwezo wa mwanadamu ni mkubwa kiasi gani. 😊