Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
- Thread starter
-
- #61
Walikutana na kuoana tayari wote wakiwa wanalamba asali, kuna ubaya hapo ndugu?DC Bagamoyo?
Hivi kweli kwenye nchi masikini ya watu milioni 50 wasio na ajira, ni busara kuipa familia moja uwaziri na u-DC ?
Sio alikuwa mpaka Sasa anaimilikiTarimo ndo alikuwa anamiliki eckenford ?
Higi yule mzee bado yupo haiKauthar Tarimo ni mtt wa Mmiliki Wa Chuo Cha Tanga University, Na bado akaonekana hatoshi kwa mme wake[emoji16][emoji16]
Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
Kama walikutana wakiwa tayari viongozi kwa kweli hapo siwezi kulaumu teuzi hiziWalikutana na kuoana tayari wote wakiwa wanalamba asali, kuna ubaya hapo ndugu?
Nawaomba kama ma first ladies wajaoVyeo hivyo wamekuwa navyo kabla ya kuoana
nakukumbusha au nakufahamisha kama ulikuwa hujui
Sitta akiwa Spika wa Bunge Mkewe Magreth alikuwa Waziri wa Elimu
Jakaya akiwa Rais Mtoto wake alikuwa Mbunge
Mbowe akiwa Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Mzazi mwenzie Joyce amekuwa Mbunge wa kuteuliwa na chama
Pius Msekwa akiwa Spika, Mkewe Anna Abdalla alikuwa Waziri wa Ujenzi
Julius Nyerere akiwa Rais Mdogo wake John alikuwa Mbunge wa Taifa
Rashid Kawawa akiwa Waziri na Makamu wa pili wa Rais, Mkewe Sofia alikuwa Mwenyekiti wa UWT Taifa
Mzee Mtei akiwa Chairman wa Chadema, Mkwewe Freeman alikuwa Mwenyekiti wa Bavicha
Mchungaji Mtikila akiwa Mwenyekiti wa DP, Mkewe alikuwa Katibu Mkuu wa chama hicho hicho
Zitto akiwa Mbunge na Naibu Katibu Mkuu Chadema , Mama yake Mzazi alikuwa Mbunge wa kuteuliwa wa chadema
Magufuli akiwa Rais, Mpwa wake alikuwa Paymaster General wa Nchi
Kijazi mmoja akiwa Katibu Mkuu kiongozi Ikulu nduguye mmoja alikuwa TANAPA kama Mkuu na akawa pia Naibu Katibu Maliasili kwa wakati mmoja
Ndesapesa na Binti yake washakuwa wabunge kwa wakati mmoja kupitia chama kimoja
Higi yule mzee bado yupo hai
Utakuwa na undugu na Sheikh KipozeoWengine tunapenda wanene hata wawe wanne [emoji23][emoji23]
Kila unapoongeza mnene ndio furaha inazidi
Kila mmoja anajipa raha zake
Wengine wanapenda wagomvi wengine wanapenda vimbaombao mradi tunaishi maisha yetu au mnasemaje
Zainabu ndio bi mkubwa?Anaitwa Zainab Abdallah, DC wa Bagamoyo
Bi mdogo kwa Aweso.Zainabu ndio bi mkubwa?
Kwa hiyo Zainabu akatoka kuwa bi mkubwa akaamua kwenda kwa Aweso kuwa bi mdogo. Duh.Bi mdogo kwa Aweso.
Kabla ya awezo Bi Zainab alikua mkubwa kwa Van ambae walitalikiana.
Pesa inafuatwa. [emoji23][emoji23][emoji23]Kwa hiyo Zainabu akatoka kuwa bi mkubwa akaamua kwenda kwa Aweso kuwa bi mdogo. Duh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3]Huyo mmoja tozo zetu zimemnenepesha sana pua yake.
Haya mambo ya ndani yana changamoto zake nyingi ambazo watu wanao watazama kwa nje hawawezi wakazijua.Kwa hiyo Zainabu akatoka kuwa bi mkubwa akaamua kwenda kwa Aweso kuwa bi mdogo. Duh.
Utakuwa na undugu na Sheikh Kipozeo
Anapenda weupe halafu mkewe mweusi....marehemu alikuwa kiboko.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mbona marehemu alikuwa anawapenda weupe na alikuwa hafichi hisia zake
Yeye popote alikuwa anaropoka tu
Anapenda weupe halafu mkewe mweusi....marehemu alikuwa kiboko.