Picha ya uso wa mtu aliekata tamaa ya kuishi baada ya kuhukumiwa miaka 22 Jela

naona bichwa lako gumu. nimesema, sheria inataka kuwe na option ya fine, kama fine isipotolewa, kunatakiwa kuwepo na sababu ya msingi ama la, hiyo ni sababu nzuri ya kumkatia rufaa, among others.
Okay, hakutoa hiyo option sasa, tuendelee tu kulijadili hilo suala, labda muafaka wa hiyo option utapatikana
 


Mwamba huyu hapa, Anaitwa hakimu Said Ally Mkasiwa.
 
Hii inaitwa Aurlus Mabeleeee !! 😀 😀

 
Unavyosema Sheria haiangalii masikini au tajiri ndio hili la aliyeiba pesa kimtandao milioni 280 aklipishwa faini laki Tano Kisha akaachiwa
 
Uovu ambao haujashughulikiwa hautakatishi mwingine
Hautakatishi ila sheria imetoa mwanya wa huruma kwa busara za hakimu kulingana na hali halisi ya mtuhumiwa. Mkosaji wa kwanza, mjane, watoto tegemezi wanne, sio jangili kakutwa nazo tu, masikini alietafutia watoto wasife njaa nk, kuna mwanya wa faini.., kwanini hakutumia mwanya huo wa kisheria badala yake akauvaa ushetani mkuu?! Anaugomvi gani na huyo mjane? Wanataka kumpora mashamba yake?!
 
Pia sheria imetoa limit ya mwisho wa huruma huyu alitakiwa miaka 45 amepunguziwa nusu .hakimu anahuruma sana
 
Naomba kuuliza,hayo majitu yaliyovaa jezi rangi ya mavi ni kina nani?au ndo askari misitu waliomkamata huyo mama?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…