Picha zinatisha: Ni picha za Wamasai waliojeruhiwa na wengine damu zinavuja

Kalai la zege unatumiwa tu na wajanja wachache.
 
Wanyooshwe na washughulikiwe,wameambiwa waondoke kwa hiari kulinda hifadhi hawataki eti wanashika sime kupambana na Serikali..

Waliowajaza upepo wako kwenye keyboard walq hawajaenda front kuwasaidia.
 
ma CCM ni mafisi maji kabisa, kumbe yanauwa watu huko loliondo na Ngorongoro, na huko bungeni yanaongea uongo uongo tuuu
 
Magufuli ni nani wewe MWEHU??
 
Hakuna mwenye haki na ardhi yetu zaidi ya watanzania wengine,ardhi ni mali ya Umma,acha Serikali ifanye maendeleo kupitia rasilimali zake,wamasai wasitumike kuwachonganisha na Serikali
 
Leo hii wanyama ni Bora kuliko binadamu. Kama serikali ili kubali na wakukubaliana watoke serengeti kuja ngorongoro iweje tena watake kuwapeleka handeni.

Serikali wao ndio wakaunde mbuga mpya waweke wanyama
 
[emoji24][emoji24][emoji24]Rais Samia, Rais Samia hawa ni Watanzania wana haki ya kuishi, pesa zisitufanye tusahau utu wa ndugu zetu jamani Watanzania.
 
W
Wazo zuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…