PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Wanabodi heshima kwenu!

Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli....
Huu uzi una maana Sana kama angekuwa on wa Kenya, Tx hatunaga mambo haya na wewe unaelewa
 
In other words mshaanza kumuona Majaliwa tishio kwa sababu anaanza kufanana na Magufuli kwenye attitude.

Itakuwa makosa kurudi nyuma kwenye laissez fair leadership style; aikidhi mahitaji ya Tanzania kusonga mbele and very costly kwenye maendeleo.

Mtu asieweza kwenda na kasi ya Magufuli za kupambana na ufisadi na kufikiria jinsi ya kuwainua watanzania aachane na hizo ndoto.

Haya mambo ya kusema sijui fulani mstaarabu, anaelimu, exposed na nonsenses zingine zimeshapitwa na wakati.

Amuelewi tu
 
Hahah.. Vita ni kali sana, ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Je ni Muislam?
 
Ni lazima amuachie Mkoromije mwenzie hasa mtoto wa Dada Dotto James ambaye atapigwa chini na kama kuna katiba mpya na tume huru basi maccm YARIE TU!
Dotto mbona yuko vizuri, why not asiwe yeye
 
Mumeanza kupakana matope

Raisi ajaye mtakuwa suprised kama mlivyokuwa suprised kwa Magufuli yuko mafichoni anapikwa
 
Huenda na wewe ni miongoni mwa watu wanaosaka Urais!
 
Ccm asilia vs Ccm Mpya.

Na kwa hasira na chuki zilizopo kwa ccm mpya sidhani kaa 2022 itatoka salama maana miaka kumi hii asilia wana hali ngumu sana na kimya chao kina mshindo siku wakiibuka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…