Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Haya sio maoni, ni majungu ya kubuniKwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Haya sio maoni, ni majungu ya kubuniKwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF
Huu uzi una maana Sana kama angekuwa on wa Kenya, Tx hatunaga mambo haya na wewe unaelewaWanabodi heshima kwenu!
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli....
Hahah.. Vita ni kali sana, ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.Safi kabisa hii ni team makamba na team jafo zinapambana na team majaliwa.
Team wasira inapika majungu soon itaibuka.
Team kigwangala ipo inatafakari.
Team Mwigulu hii ndiyo balaa imepania sana kufanya chochote kupambana na vikwazo vya team zote.
Team Kabudi haina hela na ushawishi imekufa kabla haijazaliwa.
Ni muislam?Mhh Bashungwa
Hana mkwanja ni tapeli tu uyo.Usisahau kuwa Trump ni msomi mzuri tu mwenye mkwanja mrefu!!
Je ni Muislam?Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....
Yule dogo hawezi kuwa Rais..kwanza hayuko smart enough kichwani, anafanya mambo kwa mihemko, hata haiba ya Urais hana.. Kwa kifupi hafai
Rais ajae ni lukuvi japo hana elimu. Sub yake ni kabudi alafu mwigulu ni shabiki nje ya uwanja...
Manjaa alijua hilo na uzi wake upo humuMagufuli na Wahaya haziendi kabisa! Naomba ulitambue hili,pili Rais ajae unaweza kuta ni mtu ambaye kila mtu hata hamudhanii! Si unaona jiwe alivyopita?? Nani alijua kwamba Jiwe atakua Rais??
Mansoor ni waziri wa nini?Sasa huo uwaziri kaupataje pataje aisee? Na Magu ana ranch huko Karagwe ya mifugo.
Dotto mbona yuko vizuri, why not asiwe yeyeNi lazima amuachie Mkoromije mwenzie hasa mtoto wa Dada Dotto James ambaye atapigwa chini na kama kuna katiba mpya na tume huru basi maccm YARIE TU!
Sisi ni tunamtaka Magufuli huyuhuyu anyooshe hii nchi kwanza.
Mmempa ?Rais Wa Tanzania 2025-2035 ni Daktari Hussein Ally Hassan Mwinyi.
Kwa sasa tumempa apige jaramba kule visiwani kwa miaka 5.
Mumeanza kupakana matope
Raisi ajaye mtakuwa suprised kama mlivyokuwa suprised kwa Magufuli yuko mafichoni anapikwa
KabisaaaSisi ni tunamtaka Magufuli huyuhuyu anyooshe hii nchi kwanza.
2025 ndio atakuwa kaivaBado hajaiva?
Haya ni maoni au taarifa ya habari?Kwa nini mkuu? Kwani Uhuru wa kutoa maoni haupo JF