PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

PM Kassim Majaliwa piga kazi, achana na ndoto za Urais, umemponza SG Dk. Bashiru Ally

Wanabodi heshima kwenu!

Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya kumrithi Rais Magufuli....
Huu uzi una maana Sana kama angekuwa on wa Kenya, Tx hatunaga mambo haya na wewe unaelewa
 
In other words mshaanza kumuona Majaliwa tishio kwa sababu anaanza kufanana na Magufuli kwenye attitude.

Itakuwa makosa kurudi nyuma kwenye laissez fair leadership style; aikidhi mahitaji ya Tanzania kusonga mbele and very costly kwenye maendeleo.

Mtu asieweza kwenda na kasi ya Magufuli za kupambana na ufisadi na kufikiria jinsi ya kuwainua watanzania aachane na hizo ndoto.

Haya mambo ya kusema sijui fulani mstaarabu, anaelimu, exposed na nonsenses zingine zimeshapitwa na wakati.

Amuelewi tu
 
Safi kabisa hii ni team makamba na team jafo zinapambana na team majaliwa.
Team wasira inapika majungu soon itaibuka.
Team kigwangala ipo inatafakari.
Team Mwigulu hii ndiyo balaa imepania sana kufanya chochote kupambana na vikwazo vya team zote.
Team Kabudi haina hela na ushawishi imekufa kabla haijazaliwa.
Hahah.. Vita ni kali sana, ngoja tuendelee kunywa mtori nyama tutazikuta chini.
 
Jaffo mnampa tu kiki hasizostahili....

Yule dogo hawezi kuwa Rais..kwanza hayuko smart enough kichwani, anafanya mambo kwa mihemko, hata haiba ya Urais hana.. Kwa kifupi hafai

Rais ajae ni lukuvi japo hana elimu. Sub yake ni kabudi alafu mwigulu ni shabiki nje ya uwanja...
Je ni Muislam?
 
Ni lazima amuachie Mkoromije mwenzie hasa mtoto wa Dada Dotto James ambaye atapigwa chini na kama kuna katiba mpya na tume huru basi maccm YARIE TU!
Dotto mbona yuko vizuri, why not asiwe yeye
 
Mumeanza kupakana matope

Raisi ajaye mtakuwa suprised kama mlivyokuwa suprised kwa Magufuli yuko mafichoni anapikwa
 
Ccm asilia vs Ccm Mpya.

Na kwa hasira na chuki zilizopo kwa ccm mpya sidhani kaa 2022 itatoka salama maana miaka kumi hii asilia wana hali ngumu sana na kimya chao kina mshindo siku wakiibuka
 
Back
Top Bottom