Pointers kwa wote wanaohofia usalama wa maisha yao kwa sababu ya harakati zao

Kwa mikwara tu hakuna wa kuwafikia.
 

Inasemekana kuwa kuna Maafisa wa police wamestaafu, Mliro ni moja wao, lakini wamebakizwa kazini kutekeleza ajenda ya Maza kuhakikisha anabaki madarakani.

Kwa issue kama ya Mdude. Farther Kitima, Soka au Mzee Kibao haiwezekani wakawa ni random people wanafanya haya. Hakuna mtu anaweza kufanya uhalifu bila kwa na benefit. Hata meizi wa kuku huwa anategemea kupata kitu baada ya kumuuza yule kuku au kumfanya kitoweo.

Circumstantial evidence zote zinaonyesha hii ni kazi ya Kikosi Kazi.
 
Kama watu wanakutafuta hawawezi wakashindwa kukupata tena watamtumia wa karibu yako (Kikulacho ki Nguoni mwako)... Njia sahihi ni Moja tu....

 
Asante kwa kunipa picha nzuri. Kwa kuwa wizi na ufisadi unafanyika kwa wingi kwenye serikali na taasisi zake, basi nyie wote watumishi wa serikali ni mafisadi. Siku tukianza kukinukisha usishangae tukianza na wewe!
 
Kwa mikwara tu hakuna wa kuwafikia.
Aliye kuingiza kwenye kazi hii alikupoteza sana. Lakini naelewa, mradi mkono uende kinywani. Lakini kwa kuwaumiza waTanzania wenzio? Hapana, jaribu kutafuta kazi nyingine yenye heshima zaidi ya hii mkuu 'Judi'. Hii ni kazi ya laana; ya kishetani.
 
Sioni mahali popote pa utata kwa kutohusika serikali katika matukio yote hayo. Hili lipo wazi kabisa.
 
Wakimaliza wapinzani watarudiana wao kwa wao tupo hapa hakuna alie salama
 
Nitashangaa kama kuna pointers hawajachukua hatua zozote kujizingira na usalama wao binafsi?

Unajua kabisa unawindwa na associate fulani? Tandika camera kila angle, usitegemee watu waliokuzunguka. Hao huwa wanapigwa biti wanakaa kimya
 
Tundu Lissu alipigwa shaba eneo lenye kamera na walinzi 24/7 kamera zilikuja kuchukuliwa , kuna watu wakikutaka kamera ndio kitu cha mwisho utakachotumainia
 
Pamoja na camera ,unapojenga nyumba yako ni vizuri kuweka escape window/door ili iwe raising kutoroka kama. Wahalifu wamedhibiti mlango wa kutokea
 
Tundu Lissu alipigwa shaba eneo lenye kamera na walinzi 24/7 kamera zilikuja kuchukuliwa , kuna watu wakikutaka kamera ndio kitu cha mwisho utakachotumainia
Kuna tofauti kubwa kati ya kamera ulizozifunga wewe [kwa sababu unajua umezifunga wapi] na kamera ambazo zimefungwa na wengine ambao wana udhibiti nazo.

Nyumbani kwako ni nyumbani kwako tu. Kona zote na vijisehemu vyote unavijua vyema kuliko mhalifu ajaye ghafla tu na kwa dakika chache.

Hii ni concept nyepesi sana kueleweka ila tatizo ni nyie mlio na vichwa vigumu.

Hizo kamera kwenye eneo alilopigwa risasi Lisu kamera zake zilifungwa na nani? Lisu, CHADEMA, au wamiliki wa eneo?
 
Security ni muhimu sana.

-Miliki Mkwaju ,hapa usicheke na yeyote ,mtu akigusa geti mida ya hatari kwa lengo la kusema yeye ni polisi usiulize sambaratisha ubongo fasta.
-Weka High Tech CCTV yeneye kudetect motion...with Night Vision HD
-Weka Alarm ambayo Ukipress Button kitaa kizima hadi 1km alarm inasikika.
-Electric Fense / Geti weka Shot ya kutupa mtu mita 10 akigusa.
 
Unafikiri walikuja ghafla? , umefunga kamera watu wamekuja kukubeba , kamera inakusaidia nini? Mbona kuna video clip jamaa anatekwa mtaani mchana kweupe na mpaka leo yule jamaa hajakamatwa na video ilichukuliwa na watu walikuwepo.
 
Unafikiri walikuja ghafla? , umefunga kamera watu wamekuja kukubeba , kamera inakusaidia nini? Mbona kuna video clip jamaa anatekwa mtaani mchana kweupe na mpaka leo yule jamaa hajakamatwa na video ilichukuliwa na watu walikuwepo.
Kumbe hata hujaelewa ni nini nakijadili.

Stay on with your hunter-gatherer no-can do defeatist attitude.
 
Kumbe hata hujaelewa ni nini nakijadili.

Stay on with your hunter-gatherer no-can do defeatist attitude.
We chizi nini unaleta hoja za kitoto alafu usipingwe? Hao jamaa wanashindana na serikali sio wahuni wa mtaani na vibaka, mageti makubwa , cctv , hazitakusaidia kitu Serikali ni kubwa na ina mkono mrefu, njia pekee ni kukimbilia uhamishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…