Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Pole mzee Malecela, amepoteza watoto wanne!

Khaaa mpk watu wazima walikuwa wanapambana kumpata Mzee 😅🤣🤣
Connection kisiasa.Kutembea na waziri mkuu,makamu wa kwanza wa Rais hapo lazima milango ifunguke.Anne ni Mbunge thanks to Mzee.Tena alipoolewa alijua atakuwa first Lady.Uchaguzi wa ndani ya CCM 2005.Anne alisema anatoka Anne ,anai (Mke wa Mkapa)Anaingia Anne akimaanishe yeye mke wa "Rais Malecela ".
 
Sasa nimeelewa kwanini kwa ainterview ya Global alisema wazi kuwa Mama yake Mzazi alikuwa mbinafsi sana na alijiangalia zaidi yeye kuliko mtoto wake wa kumzaa.Ni kweli mama yake aliwahi kuwa Miss Tanzania kwa mujibu wa Le Mutuz kwa ile interview?
Ujue imebidi nikasome historia aliyoiandikwa ye mwenyewe,ipo humu mtu aliileta!
Kumbe mama ake mzazi na mama wa kambo walikuwa marafiki waKubwa,halafu wakaja kuwa maadui wakubwa mpk wanakufa! Amesema Ile vita aliishi yeye! Aisee huyu kaka amepitia shida as if hakua mtt wa kiongozi mkubwa,so sad!
Hapa watu Wana comment tu wengi hawajui ukweli!
 
Naomba unitag nipitie huo Uzi plz
 
Afrika kumejaa wivu na roho mbaya.
Kuna ndugu zangu fulani hawapatani kwa sababu baba yao alimpa bunduki kaka yao.
Wanasema kwa nini ampe yeye? Bunduki ipo moja watoto wapo tisa na wana uwezo kifedha lakini wanagombea bunduki tuu na mpka Leo hawapatani.
Kwa case hii ,shida Iko kwenye hiyo bunduki!
Kazi ya hiyo silaha ni nn? Basi kilicho nyuma ya hiyo bunduki ndo kinawagombanisha japo wao hawawezi kuelewa,mpaka Mungu awafungue ufahamu
 
Anazaa madaktari na Maprofesa tu. Hongera zake sana.
Dr. Msukuma na Dr. Babu Tale wakuje huku. Kuna cha kujifunza

Siyo kwamba hao watoto wake wamezaliwa na akili nyingi sana, bali ni kwamba baba mtu ana unlimited financial resources na social and political connections kubwa kuwawezesha watoto wafanikiwe malengo yao kimaisha.
 
OIF.IZbuKpy8ek6Z9mtXRIbb9Q
Inauma!

Mtu akiwa wa umri, anategemea kimaisha watoto kumzika baba au wazazi.

Kwa mzee Samwel Malecela imekuwa kinyume.

Kwa kushuhudia msiba wa mtoto wake wa nne, imesikitisha sana.

Nimehudhuria shughuli za kumuaga Le Mutuz, Le Mbebez, William Samwel Malecela.

RIP Le Mutuz
Jana nilimuuliza mzee mmoja kada na mtaalam sana wa jadi kwamba ni Nini hiki!!?
Akaniambia wakati mzee anatafuta maisha ya kisiasa alienda sehem kurekebishiwa MAMBO fulani sasa baada ya kupata akakiuka masharti sasa hayo madudu yanalipa KWA kuchukua wanafamilia baadae ataenda na yeye!!!

Nikamdadisi kwani ANAWEZA saidiwa!?akasema ndio sema ye mwenyewe hajitambui kama yanamla hayo madudu!!

Nilimshangaaa sana Mzee yaani aiseh!

Haya maisha HAYA!!
 
haya mambo uyasikie tu, usiombe yatokee kwenye familia yako.

Bibi yangu mzaa Mama alizaa watoto 12 na marehemu mume wake. mpaka sasa wamebaki wanne tu, nane wameshatangulia mbele ya haki.yeye bado yupo hai akisumbuliwa na maradhi ya uzee.

mtoto wake wa mwisho kufariki ni wa kiume(mimi namuita mjomba), tumemzika miaka michache iliyopita. huyu ndio alikuwa icon wa familia, msomi na afisa wa shirika fulani la nje.

huyu jamaa Mungu alimbariki sana kiuchumi na alikuwa na roho safi mno.nakumbuka alimkatia Mama yake first class health insurance. yaani bibi akiumwa kidogo tu, gari inakuja kumchukua kumpeleka agakhan hospital. madaktari kama wote wanapishana kumuhudumia Bibi.

Mungu akasema ngoja nikuonyeshe,akamnyofoa na huyo ambaye ndio alikuwa stable kiuchumi kwenye uzao wake.
Duh noma sana! Ila wakati mwingine ni masuala ya kiroho sema watu hawaelewi!
 
Huyo mama alimtoa Tatu Ntimizi,watu wote walijua Tatu Ntimizi ndo ataolewa,hadi mzee alibadili dini na kujiita Jumanne cof of Tatu,ila Anne kapambana mpaka akaolewa yeye.Mke wa ndoa nae aliugua kimaajabu alitibiwa mpaka Kigoma huko enzi zile Makamba ni mkuu wa mkoa Kigoma. Ikute mama wa watu michepuko ndo walimpiga juju. Ila mzee nae alikuwa zip wazi enzi zake ,mweh..
Aiseee 🤔
Sa mke wa ndoa nae (marehemu) si alimpiku mama ake na Huyu marehemu William!
Maana imebidi nikasome historia yake aiseee, Kuna kitu hakiko sawa
 
haya mambo uyasikie tu, usiombe yatokee kwenye familia yako.

Bibi yangu mzaa Mama alizaa watoto 12 na marehemu mume wake. mpaka sasa wamebaki wanne tu, nane wameshatangulia mbele ya haki.yeye bado yupo hai akisumbuliwa na maradhi ya uzee.

mtoto wake wa mwisho kufariki ni wa kiume(mimi namuita mjomba), tumemzika miaka michache iliyopita. huyu ndio alikuwa icon wa familia, msomi na afisa wa shirika fulani la nje.

huyu jamaa Mungu alimbariki sana kiuchumi na alikuwa na roho safi mno.nakumbuka alimkatia Mama yake first class health insurance. yaani bibi akiumwa kidogo tu, gari inakuja kumchukua kumpeleka agakhan hospital. madaktari kama wote wanapishana kumuhudumia Bibi.

Mungu akasema ngoja nikuonyeshe,akamnyofoa na huyo ambaye ndio alikuwa stable kiuchumi kwenye uzao wake.
Wakati mwingine SIO Mungu mkuu!

Ni MAMBO Fulani HIVI ya tambiko na miiko Fulani!!
 
Kiroho hili lina maana kubwa sana. Ingawa kiafrika kulisem itaonekana kama unamnanga mfiwa.

Hapa kuna kitu Mungu anamfundisha mzee Malecela na sitakisema kwenye jukwaa hili.
Kuzika watoto wanne is not a joke.
Hata mimi nimewaza kama ulivyowaza wewe,hawa wazee enzi za ujana wao au walipokuwa kwenye utawala unaweza kuta waliwaonea au kuwanyanyasa watu wengine au kuwatendea ubaya watu wengine so the karma is just working on behalf of the voiceless!
 
Back
Top Bottom