MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Weredi = welediKazi iendelee samia kaleta waarabu naona bandari inafanya kazi kwa weredi sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Weredi = welediKazi iendelee samia kaleta waarabu naona bandari inafanya kazi kwa weredi sana.
Lete ramani hapa hapa watu wanufaikeKuna maeneo mengine kuendelea kuyaishi ni kuukaribisha umaskini wa kujitakia !!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kikubwa security ipo mkuu[emoji23]
Sekta gan mkuuSi bora nyingi wakuu. Kuna watu tuko sekta binafsi huku muda mwingine tunakula mlo mmoja au mlo-nusu 😢
Hii sekta yangu mzee balaa Haina jina mana muhindi anakuomba umsaidie Hadi kufagia uwanjaSekta gan mkuu
Ila kufanya kazi kwa Mhindi bora utafute bodaboda ya mkataba.Hii sekta yangu mzee balaa Haina jina mana muhindi anakuomba umsaidie Hadi kufagia uwanja
Weredi = weledi
Naungana na wewe katika hili,huku Halmashauri tunapauka sana,hali ni mbaya sana.Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia.
ila kuna ndugu zenu wamepata ajira halmashauri nao kichwa kinapasuka kwa madeni, stress na uduchu wa mishahara.
Hela ya kujikimu tu haipatikani licha ya serikali kuu kulikemea swala hili kila mara lakini wapii.
Rais samia tukumbuke huku halmashauri maslahi yetu ni hafifu sana na hela za kujikimu hazipatikani
Huku watumishi wengi nyuso zao zimepoteza nuru, zimepoteza furaha ,zinahuzunisha sana daah.Acha kabisa mzee, Ndio maana watu wakipata mwanya wa kupiga wanapiga kwelikweli.
Maisha ya Halmashauri changamoto sana.
Huyu jamaa nilitaka nimuulize yupo kitengo gani hapo Halmashauri?Hama hiyo Halmashauri aiseee
Huku Halmashauri wananenepa Sana
Upo Idara gani?Naungana na wewe katika hili,huku Halmashauri tunapauka sana,hali ni mbaya sana.
Unawapa ushauri mzuri sana ambao ni wachache sana wanautoa,wengi huwafariji tu.nenda wizarani ama taasis kama Tari,TFRA nk
usije sema sikukwambia
Muhindi konyo. Muhindi akikuona masaa ya kaz wewe ushamaliza kazi roho inamuuma anakutafutia Cha kufanya. Sahiv nataka kukomaa nipate mikopo manispaa 🥴Ila kufanya kazi kwa Mhindi bora utafute bodaboda ya mkataba.
Kutafuta ajira Tanzania ni uzwazwa, wakati ardhi yenye rutuba imejaa tele.Naelewa magumu wanayo pitia wanao tafuta ajira, kula yao tu MUNGU anasimamia.
Kutafuta ajira Tanzania ni uzwazwa, wakati ardhi yenye rutuba imejaa tele.
Kila mtu atalima kweli? au unapoteana?Kutafuta ajira Tanzania ni uzwazwa, wakati ardhi yenye rutuba imejaa tele.