GE2025 Polepole acharuka: CCM yavunja Misingi, Haki yazimwa, Katiba ilichakachuliwa na Utekaji wazidi kutisha

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wamemzuia?
Mbona haingii
 
Usumbufu wote huu wa kuifungia mitandao inaonyesha namna serikali ilivyo na madudu mengi
 
haha dira ya kisatanic imeshasahaulika, kumbe H.Polepole alijua ndiyo maana kuahirisha jana …
 
Hii inaelekea saa 6 mkuu tunasubiria kumuona akitubu muda unaishia hivi ilikua saa 5 sasa inakimbilia saa 6 chenga tu hakuna kinachoeleweka
Mkuu ukiona kimya kingi ujue Kuna watu nyuma ya pazia huko wanafanya kila liwezekanalo kunusuru hali isiharibike zaidi ya sasa.
Kuna wakubwa huko wanaangalia jinsi ya kuweka sawa "mambo yasiharibike saana" . In JK's voice.
 
Pole pole afanye haraka haraka sasa…watu wamesubiri presi muda mrefu 😂
 
Mkuu ukiona kimya kingi ujue Kuna watu nyuma ya pazia huko wanafanya kila liwekanalo kunusu Hali isiharibike zaidi ya sasa.
Kuna wakubwa huko wanaangalia jinsi ya kuweka sawa "mambo yasiharibike saana" . In JK's voice.
Wanaweza kumzuia asijambe?
 
Yutubu bila VPN hutoboi na ukiingia kwenye channel zinazorusha live hakuna kitu kupo kimya tu.
 
Pole pole afanye haraka haraka sasa…watu wamesubiri presi muda mrefu 😂
Anaetaka kujamba mwache ajambe sasa mtu ana jambo lake unataka kumzuia asijambe ili iweje? Mtu anataka kutubu unamzuiaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…