Great Shoo
New Member
- Nov 1, 2023
- 2
- 0
Of course Inaweza kuwa ni Haki Yao ya msingi kikatiba, kugombea kama raia wengine lakini kuwakata wengine wote na kuwaacha hao wa familia na kusema pita bila kupingwa na kuwaondoa wengine as if kwenye hayo majimbo hakuna mwingine aliyechukua Form ya kugombea Huo ni Uteuzi na Uteuzi siyo Uchaguzi.Humphrey Polepole amesema "Leo kinachoendelea kwenye Uchaguzi wa Chama huko chini...ni kudhihirisha ni namna gani Chama kimedhohofika kwenye kusimamia Misingi, Nidhamu ya Wanachama, Maadili, Rushwa"
"Ni Haki kila Mtu kugombea lakini kwenye Chama ambacho tuna Kamkate kadogo ka fursa za Uongozi haipendezi unatazama kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi."
View attachment 3426513