GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
You think so? Yaani katika Watanzania milioni 71 na wapigakura milioni 37, kweeeeeli kweli unafikiria Raus na Wabunge na Madiwani wote watakuwa wa familia za wakubwa? Rais wangu Samia, ni Mtot wackigogo yupi? Mbunge wangu Mwandri, ni mtoto wa Mangi yupi? Diwani yangu Shilole, ni binti wa Rais nani? Ridhwani ni Mtanzania sawa na K K Mnyika, ana haki ya kula na kufanya kazi yoyote halali. Nyie endeleeni kukinukisha mafichoni, combi ya Polepole na Tundu ni moto wa kuotea mbali kwa matusi na masimango lakini hauleti afya wala shibe.
 
Kwani mtu ukiwa darada la saba ni lazima na wewe huwe mwanasiasa ?
 
Jibu swali.
Nijibu swali ambalo hata wewe hujui unauliza nini ? Viongozi wawe ni pamoja na mimi au wawe ni watu flani bado wanakuhusu kwasababu wanaenda kukuongoza wewe sio mpaka wewe au mimi ukatwe ndio uone hakuna demokrasia.

Utakapoona flani wanapitishana kifamilia hao wanakuhusu moja kwa moja ni viongozi wako hao sio mpaka mimi niwe mgombea pia ndio nipege kelele hakuna demokrasia.
 
Back
Top Bottom