GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Wabongo mna mikwara sana, mnavyokomaa atoe way forward, utafikiri mpo tayari ku walk the talk, kumbe mna subiri kuweka bundle ili kufuatilia yanayozungumzwa.
Wala hakuna mikwara , Mimi sio mfuasi wake ila tunataka tujue hatma ya hayo maneno ni ipi Sasa !? Itaishia hivyo hivyo tu maneno !?

Kumbuka maneno matupu hayavunji mfupa na wapinzani wake ni wakomavu hawatishiki Kwa maneno yake only
 
Ubunge na udiwani umejawa na familia za viongozi nilisema nyie polisi na jeshi zamu yenu itafika mnao saidia haya hivyo vyeo vyenu watapewa ndugu zao.

Sharti ni kukataa nchi kuwa ya kifamilia ni kuirudisha kwenye demokrasia ndio mtaokoka.
 
Sawa
 
Ikiwa nyie vijana mnawekeza katika simba na yanga na kujadili ngono tu unafikiri wao viongozi wafanyeje. Zaidi ya kujimegea minofu
 
Ubunge na udiwani umejawa na familia za viongozi nilisema nyie polisi na jeshi zamu yenu itafika mnao saidia haya hivyo vyeo vyenu watapewa ndugu zao.

Sharti ni kukataa nchi kuwa ya kifamilia ni kuirudisha kwenye demokrasia ndio mtaokoka.
Uchochezi tu, jishikilie ndugu.
 
Hatutaki viongozi wajao wawe wa famili ya viongozi kwenye nchi yetu hakutakuwa na uwajibikaji na nchi sio ya kifalme hii.

Msikae mnatuambia heti hii ni demokrasia, sasa ni demokrasia gani hii ya familia moja?
 
Uchochezi tu, jishikilie ndugu.

Kuna utofauti mkubwa kati ya uchochezi na uhalisia uliopo. inategemea na uwezo wako wa kufikiri upo vipi.

Hata hivyo nilicho hamasisha ni kupigania demokrasia na kukataa nchi iwe kinyume chake sijahamasisha vita, wala mapanga.
 
Kwahiyo sifa za mtu unataka ziathiliwe na unasaba wake?
 
Ubunge na udiwani umejawa na familia za viongozi nilisema nyie polisi na jeshi zamu yenu itafika mnao saidia haya hivyo vyeo vyenu watapewa ndugu zao.

Sharti ni kukataa nchi kuwa ya kifamilia ni kuirudisha kwenye demokrasia ndio mtaokoka.
Sahivi kuanzia uRais mpaka udiwani vimekuwa ni vyeo vya kiukoo na siyo kitaalamu
 
Kwahiyo sifa za mtu unataka ziathiliwe na unasaba wake?
Dogo achana na siasa nakushauri ?

Mimi nimehamasisha demokrasia kwa wote sasa sijui familia moja ni demokrasia ya wapi labda mtu uwe chizi ndio utaona nchi inaelekea sehemu ya kawaida
 
Kwani wewe Umekatwa?
 
Back
Top Bottom