GE2025 Polepole: Haipendezi kwenye mchakato wa Ubunge ni Watu wa Familia za Viongozi
Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hii familia imekaa Kama hii nchi ni Mali yao binafsi .

Mme-_hold kila kitu.
Familia ya 'wapita bila kupingwa'.
Member wa hiyo familia akichukua fomu hakuna mwingine anaruhusiwa kuchukua. Haka kazee kameikamata nchi kimasihara, yaani kanaitawala kutoka nyumbani. Mishen-town huyu akidanja kutakuwa na ombwe kubwa huko nyuma ya pazia.
 
Huyu Polepole angejua ni kwa kiasi gani yeye na Magufuli walibaribu demokrasia ya nchi hii ni bora angekaa kimya tu. Afahamu tulikuwa kwenye demokrasia ambayo hakuna mgombea yoyote wa ccm alikuwa anaweza kujahakikishia kiti kwenye uchaguzi mkuu. Leo mgombea yoyote wa ccm anajua atatangazwa mshindi bila kujali box la kura linasema nini, na hii ni mbegu walioipanda yeye na Magufuli.
 
Pmj na kua vyama pinzani vina piga kelele lkn bd aibu hawana hali itakuaje km vyama wakosoaji wataamua nao kuwa kimy?
 
Mfumo ambao umetengenezwa toka awali, ndiyo hiki kinachoendelea. Kila Mtanzania anaona hayamuhusu, ilimradi anakula mlo mmoja na akiumwa achangishe ukoo mzima kutibiwa, shida anaziona ni sehemu ya maisha yake.

Tuna safari ndefu sana, kuuvunja mfumo, wa watu ambao ni wabinafsi sana. Sasa mtajua hii teka, uwa, funga gerezani ni zanini. Ni haya familia Baba ni Raisi mstaafu, mama mbunge, mtoto waziri.

Mwingine Raisi, mtoto wa kiume ni Prince, wa kike mbunge, mkwe waziri. Bado kuna Raisi Zanzibar ndugu zake wabunge tena wanapita bila kupingwa. Kwahiyo damu za kina Mzee Ally Kibao, Mdude, Soka, Ben, Mawazo n.k ndiyo zinalipia lifestyle za mfumo.
 
Yeye amegombea Jimbo gani ? au analalamika tu ilhali hajagombea?
 
Chuma ni yeye kaharibu mifumo ya uchaguzi
Hapana Kwa kiasi Fulani asingeweza ku tolerate haya mambo ya Kujaza watoto wa familia za Viongozi
Wakati wa Chuma ndio tumeona Vijana wengi wamepata Fursa katika taasisi Na Institutions ambazo ni prestigious bila Connection yoyote ile
 
Ujue sasa kuwa kuna watu wamelogwa na akili zao zimelogeka....watakuja hapa kupinga hili Polepole anachoongea...na ikute kapewa elfu 10 tu ya vocha ili aje ampinge....Ujinga ni mbaya sana...mjue hakuna ndugu atamkosoa nduguye kwa ajili ya mtu baki,mke mbunge amkosoe Mume Rais eti kwa ajili yako NEVER....ni umaskini wa kutosha utaendelea kuwa juu ya Taifa....nasema mm...Tz haiwez endelea ikiwa chini ya ccm
 
Nyie endeleeni kumsikiliza. Huyo ni debe tupu
Sasa hapa tumwombe tu Polepole hii mijadala ianze kwenda na vitendo maana mda unakwenda na haurudi nyuma alafu hawa kenge nao ni kama wameshupaza shingo zao.

Angetwambia what next Ili tumalizane nao mapema
 
Kitu pekee nisichokipenda kwa huyu jamaa ni the way anavyo present, anaongea kiutani utani halafu anaimba vinyimbo vya kissenge kwenye issue serious kama hii... anatakiwa aeleze vitu straight forward na asiyeweke utani utani muda ni mchache wa kucheka cheka.
 
John Heche "Kuna kikundi kidogo cha watu ndo kinaongoza" malamiko ya.ekuwa mengi kuhusu hicho kikundi jamani kisije kikatuingiza pabayq.
 
Huyu Polepole angejua ni kwa kiasi gani yeye na Magufuli walibaribu demokrasia ya nchi hii ni bora angekaa kimya tu. Afahamu tulikuwa kwenye demokrasia ambayo hakuna mgombea yoyote wa ccm alikuwa anaweza kujahakikishia kiti kwenye uchaguzi mkuu. Leo mgombea yoyote wa ccm anajua atatangazwa mshindi bila kujali box la kura linasema nini, na hii ni mbegu walioipanda yeye na Magufuli.
Kwahiyo bwana Tindo ukijisaidia bahati mbaya ni lipi jambo sahihi kufanya?
  • Unajisafisha au
  • unajisaidia tena?
 
Back
Top Bottom